Bwana James Ole Millya awa wakili wa kujitegemea officially

Bwana James Ole Millya awa wakili wa kujitegemea officially

Crashwise

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2007
Posts
22,227
Reaction score
8,741
Baraza la mawakili (The Legal Education Council of Tanzania)lililoketi mwanzoni mwa wiki hii jijini Arusha ili kumtahini Bwana James Millya, Amefaulu na hivyo kuanzia sasa atajulikana kama Wakili/Advocate James Ole Millya,ambaye ni wakili wa kujitegemea.

Tunampa pongezi nyingi,na tunamtakia kila la heri katika kutetea haki nchini mwetu Tanzania. Hongera wakili Millya.
 
Sikuwa najua kuwa jamaa ameenda shule vizuri hivi. I just thought ni mtu wa kawaida tu. Hongera sana kamanda
 
Sikuwa najua kuwa jamaa ameenda shule vizuri hivi. I just thought ni mtu wa kawaida tu. Hongera sana kamanda

Jemsi amenda shule hajakimbia shule kama vilazi wa ccm akina lusinde maji marefu nk wa magamba ambao wamekimbia shule chadema inazidi kuwa na mawakili na wasomi wengi tutarajie kuongozwa na wasomi na watakao keti chini kujadili mstakabali wa nchi yetu vizuri ongera Jemsi ongera chadema ongera Tanzania kuongeza wasomi
 
Congratulation comrade!

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Bado anasubir kuapishwa, December. Hongera zake Wakili Msomi Millya maana kile kiti moto achana nacho kabisa, tuliopita pale tunaelewa.
 
Baraza la mawakili (The Legal Education Council of Tanzania)lililoketi mwanzoni mwa wiki hii jijini Arusha ili kumtahini Bwana James Millya,Amefaulu na hivyo kuanzia sasa atajulikana kama Wakili/Advocate James Ole Millya,ambaye ni wakili wa kujitegemea.
Tunampa pongezi nyingi,na tunamtakia kila la heri katika kutetea haki nchini mwetu Tanzania.Hongera wakili Millya.

Congratulations James.

Now you know that you were wasting most of your time in politics. Politics is good if taken as a hobby, just like charity walk, and not as a profession. Most of our problems arise because some people have made politics their profession, its their bread and butter.

I assure you, you will make a better politician now, in whatever Party you choose to be.

Again CONGRATULATIONS.
 
Dah! kumbe jamaa ni msomi sana me nilikua najua ni wale wanaojiita wakereketwa kipindi yupo chama furani hivi cha siasa,hongera sana kamanda
 
Hongera sana my secondary schoolmate(o-level)! Safari ilikuwa ndefu sana but at last you have made it!
 
Sasa hii ni jamvi la siasa ama ni la legal ama politics wht if angekua cuf ama ccm ingekuaje mungempongeza kiasi hiki think great thinkers
 
Jemsi amenda shule hajakimbia shule kama vilazi wa ccm akina lusinde maji marefu nk wa magamba ambao wamekimbia shule chadema inazidi kuwa na mawakili na wasomi wengi tutarajie kuongozwa na wasomi na watakao keti chini kujadili mstakabali wa nchi yetu vizuri ongera Jemsi ongera chadema ongera Tanzania kuongeza wasomi

Alikuwa Rais wa wanafunzi Tumaini Univ Iringa akisomea Sheria!miaka 7 iliyopita
 
Alikuwa Rais wa wanafunzi Tumaini Univ Iringa akisomea Sheria!miaka 7 iliyopita

Mkuu mbali na kuwa mwanasheria mbalina kuongea kingereza safi pia amejifunza kifaransa na kiarabu
 
Sasa hii ni jamvi la siasa ama ni la legal ama politics wht if angekua cuf ama ccm ingekuaje mungempongeza kiasi hiki think great thinkers

kama anastaili kusifiwa kupongezwa anapongezwa kwanini asipewe haki yake kwani wewe umeona je? mkuu
 
Hongera zake! Lakini asije kua yuko kwenye lili kundi aliloliita Tindu Lisu - mahakimu/majaji na wanasheria makanjanja!
 
Kisheria,Millya bado si Wakili hadi atakapoapishwa rasmi na Jaji Mkuu mnamo Disemba.Hatahivyo,hongera sana Millya kwa kukaribia Uwakili.
 
Back
Top Bottom