KWEZISHO
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,519
- 6,518
Tumetoka mbali sana. Hii enzi hizo ndio ilikuwa familia bora, wamemudu kupata mavazi ya kujistiri na wameweza kupata pesa ya kujifotoa!View attachment 1204990
Hii harusi inaelekea ilikua classic kwa enzi hizo. Mpaka walimudu gharama za picha ya kumbukumbu.