Bwana Na Bibi Harusi 1905 Tanganyika

Bwana Na Bibi Harusi 1905 Tanganyika

View attachment 1204990

Hii harusi inaelekea ilikua classic kwa enzi hizo. Mpaka walimudu gharama za picha ya kumbukumbu.
Picha rangi mwaka 1905 siyo mchezo; lakini mwaka huo si ndipo tulipokuwa na vita ya majimaji? Inawezekana kweli huyu alikuwa ni tarishi kwenye serikali ya mjerumani, akiwa anafanya kazi ofisi ya gavana. picha ilikwenda kusafishwa ujerumani na kurudishwa baada ya miaka miwili.
 
Back
Top Bottom