Bwana Na Bibi Harusi 1905 Tanganyika

Bwana Na Bibi Harusi 1905 Tanganyika

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
1568256632460.jpeg


Hii harusi inaelekea ilikua classic kwa enzi hizo. Mpaka walimudu gharama za picha ya kumbukumbu.
 
Sky Mbona Kama umefanana nao hao wana ndoa wawili?
 
Wanawake waangalie hivyo hivyo kwenye picha lakini ukimuweka ndani ndiyo utajua kuishi nao kunahitaji baraka za Mungu, labda kwa miaka hiyo walikuwa na busara
 
Hiyo picha ina rangi iliyoiva vizuri kwa nyuma ambayo inaonyesha majani ya kijani na pia ua lina rangi nzuri ya kupendeza... Kiukweli hakukuwa na teknolojia ya kutoa picha kama hii enzi hizo labda kama ni photoshop..
 
Nimeamini leo kuwa "mkipendana sana na mkeo mkaishi pamoja lazima mtaanza kufanana" \
 
Hiyo bi harusi ndio walikuwa warembo enzi hizo, kumpata huyo shughuli pevu!
 
Huyo jamaa huenda alikuwa na cheo kwa mkoloni

Mkuu acha fikra potofu, Kwanini munakua na zana kama wakati wa kikoloni wazee wetu walikua wanaishi kwa dhiki sana? Mkuu beleave me CCM wanatupa shida kuliko wakoloni walivyokua wanawapa shida wazee wetu. CCM wanatunyima uhuru kuliko wakoloni walivyokua wanatawala wazee wetu. Tafauti ya wazee wetu na sisi ni technology tu sisi tunaishi dunia yenye technology kubwa. Lakini wao walikua na maisha bora na amani kutoka kwa mtawala kuliko tunvyoishi sisi chini ya utawala wa CCM.
 
Hiyo picha ina rangi iliyoiva vizuri kwa nyuma ambayo inaonyesha majani ya kijani na pia ua lina rangi nzuri ya kupendeza... Kiukweli hakukuwa na teknolojia ya kutoa picha kama hii enzi hizo labda kama ni https://petapixel.com/2015/10/11/a-brief-history-of-color-photography-from-dream-to-reality/..

 
Back
Top Bottom