Bwashee kwa totozi za humu ukishawahi jizolea?

Ni hao hao ila kuna pisi za moto kulingana na pesa yako kaa kimasta
tutajuaje na watajuaje? ulijuaje humu kuna pisi wakati unauliza watu waliowai kuogoa pisi alafu watu wenywe na wao wanajiulizaa n.b

jf nzima mwanamke ni
@misszomboko
 
Kwa kweli min me unekuja kivingine kabisa, it's like umeamua kubadilisha identity yako kabisa. Hongera!
 
😹😹 Are u Rabbitus!!
Maana yule nae alikuwa nje ya Nchi
Alikuwaga mpole kama wewe
Baadae nae akachachuka selfika
Kila siku magomvi
Kwani nimechachuka mimi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…