The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 39,582
- 123,152
Bwashee,mimi humu JF hua siongelei kabisa personal life yangu.Bwashee hawajui upo UK . ? Na unamwaga yuro😆
Bwashee,mimi humu JF hua siongelei kabisa personal life yangu.Bwashee hawajui upo UK . ? Na unamwaga yuro😆
Raha ya JF ni hivi hivi kutokujuana mkuu,unaweza kukuta hapa JF kitoto kinasukuma Bodaboda halafu kinakwambia "Tafuta hela"Yeah , ila sisi wanao tunasema😆
Damn!! 😹Yani ndio naipitisha kunako ikiw ya moto moto gademitt 😆
Hahaa ni shida ya mtandao aisee.. daah!Ila unanichukia mchumba , msg zangu zote zinafeli🤣
Mamiyake 😹😹😹Siku ukitoka hapo kwa shemeji ako lazima upate mshangazi wa maana ambae yuko round kama mtungi wa gesi😁
😀Mamiyake 😹😹😹
Dahh ila nitarefuka tu ipo siku😎Kasoro wewe.
Yaani hamkauki mdomoni wiki sasa🙌🏾Alimlia nauli 😹
Mimi na hansons wangu tu😁Na nyagi kidogo ya kumixia.. ila tutamzika tu akitutoka 😹
Walioprioritize ulaji wanakula vizuri.Kwamba zipo tu ila!
Aaisee kwani nakuwaga wapi napitwa na maputo maniner🤦🏽♀️Kuna tufe moja linapost selfika , lipare flani hivi la mchogo , ni libaya kwa sura na mwonekano ila ni mtani wangu,mnalisifia tu nalo halijashtuka kuwa ni Pumbavu tu kmmmke , 😆
Kwa vichambo vyako mtunukaji awe makini asikukwaze😁Hebu mdada mmoja ajitokeze kunitunuku ili na mimi nipate cha kuchangia kwenye huu uzi.
Connection tafadhaliNi hao hao ila kuna pisi za moto kulingana na pesa yako kaa kimasta
Ni huzuni..Walioprioritize ulaji wanakula vizuri.