Andromeda Galaxy
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 9,846
- 16,713
😄😄😄
Nilipokuwa kilingeni msata nilipata wateja wengi sana😀Hata hawa mashavu wanaojiposti selfika ulisha wahi jiliagaa mnofu humu?..😁😁
Binafsi mimi kuna pisi nazitamani kinouma humu😁😁
Je hili limewahi kutokea humu😁😅😅 ?? Just I'd tu😅😅
reasoning za wewe kuacha kwenda kilingine ni nini hasa?Nilipokuwa kilingeni msata nilipata wateja wengi sana😀
Jana na juzi watu wamekutafuta wakidai eti umefichwa.Hata hawa mashavu wanaojiposti selfika ulisha wahi jiliagaa mnofu humu?..😁😁
Binafsi mimi kuna pisi nazitamani kinouma humu😁😁
Je hili limewahi kutokea humu😁😅😅 ?? Just I'd tu😅😅
Halafu sikuona ujue😂Hahaha nimekutaja na wewe umejibu😁😁😁
Bwashee nilikua Canada kwa mda tu , mimi hakuna wakunificha humu😅😅😅 , NY mpo poa bwashee?😁Jana na juzi watu wamekutafuta wakidai eti umefichwa.
Wakawa wanabeti eti itakuwa mtoto wa elfu bee au mshangazi?
Wakimuomba akuachie upumue japo kidogo 😂😂
Kufa tu , niko na Seran tutakuzika 😹Ka depal nakufa nikikuwaza ujue😁
We huogopi?Kufa tu , niko na Seran tutakuzika 😹
Utaachaje nawe huna attention mtaani kwako unaisaka humu😎Neva😅 siwezi kusahau, niombee tu niache roho ya kwanini😁😁
Picha la kutisha 😁