Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 36,315
- 104,500
Ili uwe dhahabu lazima upitishwe kwenye moto👌🏽Mpenzi mnanichukia kumbee😅😅😅😅
Ili uwe dhahabu lazima upitishwe kwenye moto👌🏽Mpenzi mnanichukia kumbee😅😅😅😅
Huku poa tu.Bwashee nilikua Canada kwa mda tu , mimi hakuna wakunificha humu😅😅😅 , NY mpo poa bwashee?😁
Niliokoka🙏🏿reasoning za wewe kuacha kwenda kilingine ni nini hasa?
Humu usipokuwa makini unaweza kumtamani mwanaume mwenzako.Hata hawa mashavu wanaojiposti selfika ulisha wahi jiliagaa mnofu humu?..😁😁
Binafsi mimi kuna pisi nazitamani kinouma humu😁😁
Je hili limewahi kutokea humu😁😅😅 ?? Just I'd tu😅😅
Wewe mkuu zamani ulikuwa kapole sana siku hizi ni zaidi ya mchuzi uliowekwa ndimuHata hawa mashavu wanaojiposti selfika ulisha wahi jiliagaa mnofu humu?..😁😁
Binafsi mimi kuna pisi nazitamani kinouma humu😁😁
Je hili limewahi kutokea humu😁😅😅 ?? Just I'd tu😅😅
Reason behindNiliokoka🙏🏿
Mimi bado ni mpole mno mchumba😊Wewe mkuu zamani ulikuwa kapole sana siku hizi ni zaidi ya mchuzi uliowekwa ndimuView attachment 3679865
Kwahiyo unatafuta wanyonge wako waliopauka humu ambao unaohisi umewazidi na huna uhakika🤣Mtaani kwangu nimewazidi kila kitu , sioni wa kushindana nae zaidi ya machawa , ambao nawapa pombe nakuwapotezea tu
Heheheheh wadanganye eti mpolee🤣Mimi bado ni mpole mno mchumba😊
Wewe ambacho huwezi ni ugomvi ila sio mpole🤣Kwamba mimi sio mpole na mtiifu mamnyoo,?
Min we sio mpole!😅Kivipi siwezi ugomvi ila sio mpole ? Hapa ni falsafa kubwa mno mamnyoo🤔