Ukitumia historia. Ethiopia wakati alitoka suluhu na Eritrea, Egypt alitoa suluhu na Israel. Kupigwa kwa Italy hakumaanishi eti haikuwa na jeshi imara, hata US ilifeli Vietnam na hii haimaanishi haikuwa na jeshi kali.
Ukitumia diplomasia. Russia, US, Britain na France haziwezi msaidia Ethiopia kwenye vita, msaada ataupata labda China na Turkey kiasi kidogo.
Kijeshi ndio kabisaa Ethiopia very hopeless hana uwezo wa kupigana hata na nusu ya jeshi la Egypt. Kwanza Egypt yupo kwenye harakati za vita kila siku na silaha ananunua za kutosha, kila mwaka anafanya military drills na majeshi imara duniani.
Kiuchumi Ethiopia bado sana kumfikia Egypt.
Internal mobilization bado kuna gap kubwa mno. Wamisri ukiwaambia kapiganie maji yenu ya kipekee wanaunga mkono kwa wingi, wakiyakosa tiyari ni vifo vinahesabika kwao. Waethiopia hawa wenye migogoro ya kikabila na wanaokimbia hali ngumu kwao ndio waitete nchi?