Kiweriweri
JF-Expert Member
- Jan 3, 2012
- 2,150
- 3,086
Na takwimu zinasema maji mengi ya Nile yanatoka Blue Nile. Ndiyo maana Egypt na Sudan wamachemkaThe White Nile, which is the longer of the two, begins at Lake Victoria in Tanzania and flows north until it reaches Khartoum, Sudan, where it converges with the Blue Nile. The Blue Nile begins near Lake Tana in Ethiopia. The Nile River empties into the Mediterranean Sea in northern Egypt
Narudia tena Ethiopia hana jeshi la kukabiliana na jeshi la misri hata kidogo.Huijui Ethiopia wewe!
Kabisa nini wakati huo Blue Nile source yake ni hapo hapo Ethiopia?
Weee uelewe maji yale yanaelekea misri yanatiririkia huko sumu akiweka mpakani watu wa Ethiopia wataathirika vp?Maji hayo hayo ambayo waethiopia wanatumia? Yaani Ethiopia atie maji sumu wakati watu wake nao wanategemea hayo maji? akili au matope hayo?
USA lazima awe side ya SISI kuhakikisha Israel inakuwa salama na haianguki mikononi mwa maadui zake.
Kwa hio wanatia sumu kwenye mpaka wa nani? Wao wenyewe ama wa sudan? maana naona mto unakwenda sudan kabla kufika Egypt.Weee uelewe maji yale yanaelekea misri yanatiririkia huko sumu akiweka mpakani watu wa Ethiopia wataathirika vp?
Tz tunanunua umeme ethiopia?Duu mdogo wangu ata aujui dunia inavyo enda kumbe!!!! Ivi unazAni Ethiopia bwawa likilipuliwa nchi ngapi zitayumba????? Si umeona mpka sisi tz tunatengemea supply ya umeme toka kwao!! Ikiwa na ug pia...likilipuliwa jiandae na mgao wa umeme
Wasije kuthubutu kufanya ujinga wa namna hiyo kwa sababu utawa gharimu mno.Weee uelewe maji yale yanaelekea misri yanatiririkia huko sumu akiweka mpakani watu wa Ethiopia wataathirika vp?
Alishindwa Mtaliani mwenye jeshi kubwa zaidi in 1890s itakuwa Misri.Narudia tena Ethiopia hana jeshi la kukabiliana na jeshi la misri hata kidogo.
Vita ikitokea Ethiopia itaharibiwa vibaya sana.
Kubisha kwako hakuwezi kubadilisha ukweli.
Mtaliani ndo kitu Gani Icho?Alishindwa Mtaliani mwenye jeshi kubwa zaidi in 1930s itakuwa Misri.
You people never learn from history.
Acha hadithi za zili pendwa hii ni dunia nyingine kabisa.Alishindwa Mtaliani mwenye jeshi kubwa zaidi in 1930s itakuwa Misri.
You people never learn from history.
Mtaliani ndo kitu Gani Icho?
Acha hadithi za zili pendwa hii ni dunia nyingine kabisa.
umeongea point sana,bwawa limepita sehemu nyingi ,wakilipua wazalendo watamwaga sumu halafu tuoneMshenzi kweli. Kwa hili nampinga Trump; very stupid idea. Ethiopia itamwaga sumu mtoni halafu tuone. Sometimes ubabe una mipaka yake.
Alishindwa Mtaliani mwenye jeshi kubwa zaidi in 1890s itakuwa Misri.
You people never learn from history.
Tena waitaliani walipigwa na jeshi la Ethiopia lililokuwa linaongozwa na mwanamke, mke wa mfalme Manelik wa Ethiopia.
Kupigana ni spirit na si vifaa.
Mke wake naye aliongeza kisago cha mbwa koko.Aliyewapiga waitalia ni menelick ll
Umechambua vizuri mkuu.Ukitumia historia. Ethiopia wakati alitoka suluhu na Eritrea, Egypt alitoa suluhu na Israel. Kupigwa kwa Italy hakumaanishi eti haikuwa na jeshi imara, hata US ilifeli Vietnam na hii haimaanishi haikuwa na jeshi kali.
Ukitumia diplomasia. Russia, US, Britain na France haziwezi msaidia Ethiopia kwenye vita, msaada ataupata labda China na Turkey kiasi kidogo.
Kijeshi ndio kabisaa Ethiopia very hopeless hana uwezo wa kupigana hata na nusu ya jeshi la Egypt. Kwanza Egypt yupo kwenye harakati za vita kila siku na silaha ananunua za kutosha, kila mwaka anafanya military drills na majeshi imara duniani.
Kiuchumi Ethiopia bado sana kumfikia Egypt.
Internal mobilization bado kuna gap kubwa mno. Wamisri ukiwaambia kapiganie maji yenu ya kipekee wanaunga mkono kwa wingi, wakiyakosa tiyari ni vifo vinahesabika kwao. Waethiopia hawa wenye migogoro ya kikabila na wanaokimbia hali ngumu kwao ndio waitete nchi?
Tusaidie tafsri, Mkuu.C'est La Vie