Bwawa la Julius Nyerere mto Rufiji: The Silver Lining!

Eti wanadai hawakusikilizwa maoni yao!
Ni ujinga na haiwezekani kusikiliza watu 60+ millions, Magufuli hawakumkuball, kaja Mama Samia kabadili staili ya Magufuli bado wanamnanga, huwezi kuridhisha binadamu, Mungu kaumba kope watu wanamkosoa na kuweka bandia, makalio, nywele, kucha na kadhalika, je wewe sio Mungu utawaridhisha?
 
Sure ndugu yangu, tunamhitaji Magufuli mwingine aisee.
 
Asante sana ndugu, kuna watu hawataki kusumbuka isipokuwa wanataka kula mema. Binafsi kwangu mafuriko si tatizo kama tutawwza kupunguza/kumaliza tatizo la umeme.
Ukiongeza na hayo manufaa, niseme nini zaidi ya kumshukuru Maulana.

Waliokumbwa na mafuriko serekali iwasimamie kuwahamisha sehemu salama, kama kuna kuchangia kufanikisha hilo binafsi nipo tayari.
 
Kuna muda kama naona hatupo kwa tayari kwa maendeleo yoyote, treni inapondwa, ndege zinapondwa, mradi wa umeme unapondwa, daraja la busisi linapondwa, barabara ya kibaha, flyover ya ubungo na mengi!
Sijui haswa tunataka nini?
Achana na mafala hao
 
Wengi wa wapondaji ni hawa vijana wala bhangi na madawa ya kulevya,

Pumbavu zao sana hao
 
Point zile zile bado ni changamoto;
1. Tunakopa kufanya miradi
2. Wanajenga wageni kwa sababu ya kukosa wataalam wa vitendo na sayansi na teknolojia kuwa chini.
 
Unaweza kufanya analysis nzuri Sana kama hiyo, lakin kule serikalin kuna mabumunda mengi sana, yatokanayo na wastaafu. Hawana uwezo huo wa, kufikiri viatu vya, maana kama hivyo badala waibe pesa.
 
Unaweza kufanya analysis nzuri Sana kama hiyo, lakin kule serikalin kuna mabumunda mengi sana, yatokanayo na wastaafu. Hawana uwezo huo wa, kufikiri viatu vya, maana kama hivyo badala waibe pesa.
Mkuu pamoja na mapungufu yake, Magufuli aliweza kufanya naamuzi magumu.
 
Kweli kabisa, katika matatizo, hasa yanayotokana na naendeleo, fursa zinazojitokeza ni nyingi sana.
 
Tunataka kubishana kwa kila kitu hata vitu tusivyovijua!! Kitu kiwe na faida au hasara sisi wabongo lazima tubishane tu , ni kama utamaduni wetu for now!
Plus ujuaji zero
 
This is the way to go!
RUBADA ifufuliwe ili haya majukumu yashughulikiwe kikamilifu.
 
Kuna muda kama naona hatupo kwa tayari kwa maendeleo yoyote, treni inapondwa, ndege zinapondwa, mradi wa umeme unapondwa, daraja la busisi linapondwa, barabara ya kibaha, flyover ya ubungo na mengi!
Sijui haswa tunataka nini?
Ndivyo waafrika na wengineo ndivyo tulivyo.

Rais SH alisema kelele nyingi zitampoteza njia, mambo mengine atatumia cheo chake ili yaende.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…