Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
Likizo yangu ya mwaka jijini Dodoma ilikuwa nzuri, tumshukuru magufuli kwa kuhamishia Serikali Dodoma, pamepambazuka sana, pamechangamka, kuanzia saa moja usiku hadi saa sita usiku panakuwa pamekucha. Sinywi pombe ila kwa wafanyabiashara nyingine safi, ni mji mzuri kwa biashara. Sisi wengine tulishajenga huko na wake zetu walivyohamia huko pamekuwa second home. Ila nina machache ya kuwaambia.
Eneo moja linaitwa ILAZO, kuna hotel moja nzuri ya shabiby nasikia, nje ya hotel penyewe barabara imejaa majitaka yanayotoka bwawa la mavi yamejaa pale na hayakauki, shuka swaswa hadi ilazo extension karibu na martin luther, ni pachafu sana. Kumbe kuna maji taka, yaani yale ya chooni wanamwaga katikati ya jiji, eneo la swaswa, yanatiririka hadi sasaivi tunavyoongea kuelekea kwenye makazi ya watu. Mvua ikinyesha mavi yanatiririka. December mvua ilinyesha hadi maeneo ya ilazo karibu na martin luther ilikuwa shida kupiga, ila maji ya chooni yaani mavvi, yanasambaa mtaani.
Hivi Dodoma jiji hamuoni umuhimu kuhamisha bwawa la kumwaga mavvi katikati ya jiji? Mbona bwawa lipo karibu kabisa na waziri Mkuu,
Siku PM akiumwa tumbo mtafanya nini? Au mnafikiri toka pale bwawani hadi kwa Pm ni mbali,nnzi hawezi kufika pale? Hibi kuna serikali kweli pale? Dodoma nzima hakuna eneo mnaweza kupeleka mavvi yale pembeni mwa mji huko?