KERO Bwawa la mavi Dodoma lipo katikati ya jiji karibu na ofisi za Waziri Mkuu

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Litazalisha nishati mbadala😏
 

Attachments

  • VID-20250113-WA0001.mp4
    14 MB
Dodoma ni mji mpya ila umepangiliwa kienyeji sana. Hata Manispaa ya Tabora ina afashali
 
Utaendeleaje kujadili mada kwa chanzo cha kusikia?
nimekwambia nimekuwa dodoma for the whole month na nina nyumba huko pia, bwawa nalijua, kipi cha kusikia sasa, au unaumwa akili?
 
Tumia lugha staha, sema majitaka au angalau kinyesi
 
Upo zako msibani unalia mara inapita gari kama hii
 

Attachments

  • Screenshot_20250113_140451.jpg
    293.3 KB · Views: 2
Lile Bwawa lilikuwa kitega uchumi Kwa Baadhi ya watu hapo Dom.
Nakumbuka kuona Gari likipakia Mboga za majani na kuzipeleka ihumwa tayari Kwa kusafirishwa kuletwa DAR.
Kuna Baadhi ya watu walikuwa wanalima Mpunga na wanavuna Mchele Safi kabisa 🤣 🤣 🤣 🤣.
Mimi mwenyewe Niliisha utafuna ikiwa Mbichi, Ni Mtamu sana aisee.
Wengine walikuwa wakivua samaki na kuwauza Mitaani.
Samaki wale walikuwa weusi sana.
Ila ni Miaka kadhaa imepita Sasa Tangu Serlikali ilipozuia shughuli Hizo kufanyika hapo kwasababu ya kulinda Afya ya Jamii zetu.
.... Ilikuwa ni Ngumu Mno Kwa Jamii kujua hao samaki na Mboga za majani vinatoka pembezoni mwa mabwawa ya majitaka ya swaswa.
 
Ujue harufu ya mavi ukishazoea kuinusa utaona ni kitu cha kawaida kama marashi au sehemu ya oxygen. Labda wameizoea na kuipenda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…