Kuna wajuaji ndani ya CCM walilalamikia ukataji wa miti eneo hilo la eka kumi ndani ya nchi yenye misitu na mabonde mengi, lakini nadhani leo watakuwa wanataka wachukue credit yote hasa kwa vile qalirudishwa serikalini na "mama."
Alafu nawashangaa Sana hawa machawa waliokalia kusifia mama yao kwa vitu ambavyo magufuli alijenga kwa kodi zetu🤔🤔 yani huwezi kusikia hata mara moja wanamtaja sijui wana shida gani na wakati Kila kitu Kiko wazi 🤔🤔
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.