Bwawa la Nyerere na MV. Mwanza ni kielelezo tosha kuwa Hayati Magufuli alitumia vyema pesa za umma. Sio hii habari ya tril 1 kujenga madarasa hewa

Bwawa la Nyerere na MV. Mwanza ni kielelezo tosha kuwa Hayati Magufuli alitumia vyema pesa za umma. Sio hii habari ya tril 1 kujenga madarasa hewa

JPM ni JPM, na wengine wabaki kuwa wao!

Mwenye uchungu na nchi huwa hajifichi! Atajulikana tu kwa matendo yake!

Kuna genge la wanaojiita wasomi wa hii nchi, wao kazi yao ni kuponda tu, lakini nini wamefanya! Ni ugoro tupu!

Utakuta jamaa linaponda ili hali wizara moja tu imelishinda kuisimamia!

Watu tunaibiwa kuhusu mb na zimepanda utazani nazo athari ya vita ya urusi na ukrain imeikumba hii sector

Nyie wasomi onyesheni uwezo wenu, la sivyo huyu aliyeko aridhini atawadhalilisha mno na usomi wenu
 
Yaani waziri wa pesa anadai madarasa ya tril 1.3 yamejengwa lakini ukizunguka hapa nchini unakuta watoto wanakaa chini.

Bwawa la Nyerere linakamailika, Mv Nyerere imekamilika. Hii yote ni sabbau ya hayati JPM kusimama kidete.

NB: Mimi siko genge lolote.
Jpm alianzisha tu na Wala hajaweka hela yeye hata 20% na asingeweza. Zote 80% zimejengwa na mama. Mama ndo anastahili sifa ila jpm ni mwanzilishi tu theoretically but the practical part of it ni mama samia
 
Yaani waziri wa pesa anadai madarasa ya tril 1.3 yamejengwa lakini ukizunguka hapa nchini unakuta watoto wanakaa chini.

Bwawa la Nyerere linakamailika, Mv Nyerere imekamilika. Hii yote ni sababu ya hayati JPM kusimama kidete.

NB: Mimi siko genge lolote.
Lile Bwawa unless tuwe tunapata maji kutoka Ziwani kama ilivyo Mto Naili au mto Kongo, kwa Hali ya sasa umeme wa Maji ni hatari tupu, ni mzuri ni wa gharama ndogo ila wa hatari sana, angalia Zambia wanavyo teseka now,

Kwa mto kama Nile na Mto kongo kuna angalau uhakika wa maji wake wanatoa kwenye maziwa Victoria na Tanganyika.

Ile Meli itabeba mizigo ipi? Hilo ndio swali la.msingi
 
Amejenga kwa akili kubwa sana ya kuenvite wawekezaji ili kukusanya Kodi pamoja na uwezo binafsi wa kwenda njie na kutafuta loans zenye masharti nafuu. Jpm asingeweza mana machinga wasingeweza kulipa Kodi na kujenga hivi vitu
Hizo loan za masharoti nafuu usha ona mikataba yake au una nyamba tu
 
Yaani waziri wa pesa anadai madarasa ya tril 1.3 yamejengwa lakini ukizunguka hapa nchini unakuta watoto wanakaa chini.

Bwawa la Nyerere linakamailika, Mv Nyerere imekamilika. Hii yote ni sababu ya hayati JPM kusimama kidete.

NB: Mimi siko genge lolote.
Wewe unawaza hayo madarasa tu?
Sasa inakuja ya ukarabati wa miu dombinu ya umeme kwa tillioni moja hapo ndo utajua sasa.
 
Mambo aliyoyafanya yanaonekana na ni kwa manufaa ya wengi.

Kwakua wezi hawana cha kuonesha basi hawaishi matusi kila siku.
Bado hesabu hazikupigwa vyema, Kwa speedi ya uharibifu wa mazingira nchii hii lile bwawa linaweza sababisha raia waka kufuru bure, Hydropower kwa sasa ni changamoto sana angalia South Africa, angalia Zambia kule na Bwawa lao la Kariba 1636 Megawhat wana mgao wa kutisha kabisa.

Ethiopia wanaweza kuwa na uhakika kwa sababu wanachukua maji ziwa Victoria kupitia Nile, ila kwa huku tunakotegemea mvua lile bwawa ni hasara.

Na kumbuka Serikali haijali swala la Uharibifu wa mazingira yaani ni kama haiwahusu kabisa
 
Yaani waziri wa pesa anadai madarasa ya tril 1.3 yamejengwa lakini ukizunguka hapa nchini unakuta watoto wanakaa chini.

Bwawa la Nyerere linakamailika, Mv Nyerere imekamilika. Hii yote ni sababu ya hayati JPM kusimama kidete.

NB: Mimi siko genge lolote.
We unaijua hata hii nchi zaidi ya kuwa umekalisha tako lako hapo unapoishi? Acha uzwauzwa dogo na chuki zisizokusaidi lolote. Umpendaye kashaitwa waweza kumfuata km umemmiss mama anajenga nchi kwa speed kubwa sana.
 
Back
Top Bottom