Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Wazee wa kujipimia, kula mpaka kuvimbiwa na phd zao.Yaani waziri wa pesa anadai madarasa ya tril 1.3 yamejengwa lakini ukizunguka hapa nchini unakuta watoto
Jpm alianzisha tu na Wala hajaweka hela yeye hata 20% na asingeweza. Zote 80% zimejengwa na mama. Mama ndo anastahili sifa ila jpm ni mwanzilishi tu theoretically but the practical part of it ni mama samiaYaani waziri wa pesa anadai madarasa ya tril 1.3 yamejengwa lakini ukizunguka hapa nchini unakuta watoto wanakaa chini.
Bwawa la Nyerere linakamailika, Mv Nyerere imekamilika. Hii yote ni sabbau ya hayati JPM kusimama kidete.
NB: Mimi siko genge lolote.
Amejenga kwa hela yake ya mfukoni?Jpm alianzisha tu na Wala hajaweka hela yeye hata 20% na asingeweza. Zote 80% zimejengwa na mama. Mama ndo anastahili sifa ila jpm ni mwanzilishi tu theoretically but the practical part of it ni mama samia
Amejenga kwa akili kubwa sana ya kuenvite wawekezaji ili kukusanya Kodi pamoja na uwezo binafsi wa kwenda njie na kutafuta loans zenye masharti nafuu. Jpm asingeweza mana machinga wasingeweza kulipa Kodi na kujenga hivi vituAmejenga kwa hela yake ya mfukoni?
Kwa hiyoKwa nini hamtaki kuamini kwamba huyo mtu wenu hatorejea tena duniani??
Lile Bwawa unless tuwe tunapata maji kutoka Ziwani kama ilivyo Mto Naili au mto Kongo, kwa Hali ya sasa umeme wa Maji ni hatari tupu, ni mzuri ni wa gharama ndogo ila wa hatari sana, angalia Zambia wanavyo teseka now,Yaani waziri wa pesa anadai madarasa ya tril 1.3 yamejengwa lakini ukizunguka hapa nchini unakuta watoto wanakaa chini.
Bwawa la Nyerere linakamailika, Mv Nyerere imekamilika. Hii yote ni sababu ya hayati JPM kusimama kidete.
NB: Mimi siko genge lolote.
Hizo loan za masharoti nafuu usha ona mikataba yake au una nyamba tuAmejenga kwa akili kubwa sana ya kuenvite wawekezaji ili kukusanya Kodi pamoja na uwezo binafsi wa kwenda njie na kutafuta loans zenye masharti nafuu. Jpm asingeweza mana machinga wasingeweza kulipa Kodi na kujenga hivi vitu
Wewe unawaza hayo madarasa tu?Yaani waziri wa pesa anadai madarasa ya tril 1.3 yamejengwa lakini ukizunguka hapa nchini unakuta watoto wanakaa chini.
Bwawa la Nyerere linakamailika, Mv Nyerere imekamilika. Hii yote ni sababu ya hayati JPM kusimama kidete.
NB: Mimi siko genge lolote.
Bado hesabu hazikupigwa vyema, Kwa speedi ya uharibifu wa mazingira nchii hii lile bwawa linaweza sababisha raia waka kufuru bure, Hydropower kwa sasa ni changamoto sana angalia South Africa, angalia Zambia kule na Bwawa lao la Kariba 1636 Megawhat wana mgao wa kutisha kabisa.Mambo aliyoyafanya yanaonekana na ni kwa manufaa ya wengi.
Kwakua wezi hawana cha kuonesha basi hawaishi matusi kila siku.
Ndizi (Bukoba -Mwanza)Ile Meli itabeba mizigo ipi? Hilo ndio swali la.msingi
We unaijua hata hii nchi zaidi ya kuwa umekalisha tako lako hapo unapoishi? Acha uzwauzwa dogo na chuki zisizokusaidi lolote. Umpendaye kashaitwa waweza kumfuata km umemmiss mama anajenga nchi kwa speed kubwa sana.Yaani waziri wa pesa anadai madarasa ya tril 1.3 yamejengwa lakini ukizunguka hapa nchini unakuta watoto wanakaa chini.
Bwawa la Nyerere linakamailika, Mv Nyerere imekamilika. Hii yote ni sababu ya hayati JPM kusimama kidete.
NB: Mimi siko genge lolote.