Mbuli yaza
JF-Expert Member
- May 30, 2023
- 711
- 683
maji ni cheap hivyo ktk hali ya kawaida ni bora tukatumia maji, bwawa maji yanapopungua tunatunia gasi, na vyanzo vingine.Prof alikuwa sahihi na bado yuko sahihi yule ni mtu wa Mara sio watu wa porojo nyingi na watu hawakumuelewa hoja zake kama tukitegemea bwana kuna muda maji yanapungua sana na service za hayo mabwawa ni muhimu mara kwa mara usije kushangaa mkalala giza week nzima na mlivyo wazembe kwenye ufatiliaji yy alidai umeme wa gas ni rafiki na wa kisasa zaidi kuliko Taifa kutegea bwawa tu.
Kwani hiyo mitambo ya gasi haihitaji service ya mara Kwa mara?Prof alikuwa sahihi na bado yuko sahihi yule ni mtu wa Mara sio watu wa porojo nyingi na watu hawakumuelewa hoja zake kama tukitegemea bwana kuna muda maji yanapungua sana na service za hayo mabwawa ni muhimu mara kwa mara usije kushangaa mkalala giza week nzima na mlivyo wazembe kwenye ufatiliaji yy alidai umeme wa gas ni rafiki na wa kisasa zaidi kuliko Taifa kutegea bwawa tu.
mitambo hiyo inahitaji service lkn ni baada ya masaa mengi Kwani inatembea speed ndogo.Kwani hiyo mitambo ya gasi haihitaji service ya mara Kwa mara?
mitambo hiyo inahitaji service lkn ni baada ya masaa mengi Kwani inatembea speed ndogo.
wahuni tu ndiyo hujaa hapa kuleta hoja za ajabu ajabu,kimsingi nchi imepoteza akili kubwa sana na msaada mkubwa sana.Umeme wa maji ndio nafuu kuliko umeme wa aina yoyote.
Ndio maana china kila siku anajenga mabwawa mapya.
Canada wenyewe wapo site wanajenga bwawa
Upo sahihi hakuna mradi wa uma usio lalamikiwa kwa huduma mbovu.Leo nimeamua kutoa ushauri wa bure ambao mngetafuta consultation firm ingewapiga hela nyingi sana.
Hizi power plants zote zinazozarisha umeme, kuanzia hydro-plants, gas plants nk. Tanesco wanyang'anywe na baadala yake lianzishwe shirika lingine nje ya mfumo, CEO awe MZUNGU na wapewe hizi power plants wawauzie umeme Tanesco (waswahili).
Hawa wajitegemee, wawe na scale zao za mishahara nje ya hizi TGS sijui, wawe na separate kabisa na Serikali.
Tanesco wabaki na distribution + kitengo cha biashara, CEO watanesco moja ya target yake nikuhakikisha anatafuta wateja na kufacilitate distribution + kuwalipa power generations.
Akishindwa kuwalipa power generation maana yake ameshindwa kazi na team yake.
Power generation kazi yao kurun operation, kuipa serikali faida, kupambana na operation cost na issue zote za maintenance.
Power generation kazi yao nyingine ni kutafuta vyanzo vingine vya kuzarisha umeme, kutafuta finances na kuishauri Serikali nini cha kufanya Vs current situation ya mitambo.
Tanesco wabaki na distribution + kuuza umeme, na kutafuta wateja wapya, running cost zao zote wakitoa faida waipe Serikali Vs target ya kila mwaka.
CEO KPI zake ni kuweza kuwalipa power generation + kucover running cost zake + kuipa serikali faida na kutoa report ya distribution + customers kila quarter.
TUWE SERIOUS, HIZI NI KAZI SIO MIZAHA.
NB: Irudisheni fast - jet haraka, binafsisheni Air Tanzania haraka ( wapeni Rynair au quantas air hawana operation Africa). - nitakuja siku nyingine.
unataka data za running hours toka service hadi service au data za bei za vipuri vinavyo hitajika kwenye service?Unaweza leta data tulinganishe? Unajua engine zilizofungwa kinyerezi one Hadi nne ni za kampuni ipi na bei zao za vipuri zipoje?
Mkuu unajua hata lile daraja la kigamboni linatakiwa kila baada ya siku au week tufanye ukaguzi wa zile cable lakini huwa sioni hivyo najua nachomaanisha hilo bwawa litakuja kuwalaza watu giza kwa mwezi mzima sisi akili zetu ni za kivyetu hazifanani na ngozi nyeupe naposema umeme wa gas ni muhimu sana najua nachosema na sio kuwatetea songas hata bila songas tunaweza pata wawekezaji wengine kwa makubaliano ya kibiashara na sio kifisadi.Kwani hiyo mitambo ya gasi haihitaji service ya mara Kwa mara?