Mbuli yaza
JF-Expert Member
- May 30, 2023
- 711
- 683
umeme wa
maji ni cheap hivyo ktk hali ya kawaida ni bora tukatumia maji, bwawa maji yanapopungua tunatunia gasi, na vyanzo vingine.Prof alikuwa sahihi na bado yuko sahihi yule ni mtu wa Mara sio watu wa porojo nyingi na watu hawakumuelewa hoja zake kama tukitegemea bwana kuna muda maji yanapungua sana na service za hayo mabwawa ni muhimu mara kwa mara usije kushangaa mkalala giza week nzima na mlivyo wazembe kwenye ufatiliaji yy alidai umeme wa gas ni rafiki na wa kisasa zaidi kuliko Taifa kutegea bwawa tu.