GE2025 Bwege: Mbowe ametanguliza Watoto kuangalia kama watafaulu

GE2025 Bwege: Mbowe ametanguliza Watoto kuangalia kama watafaulu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kumbe kususa ni fikra..
Kususa siyo fikra. Bali ni matokeo ya kuonesha na kuwakilisha unachotaka kitokee ambacho kinaanzia kwenye fikra.
Wewe ni miongoni mwa wale wanaoamini kwamba katiba ni kijitabu tu na kwamba wananchi hawali katiba.
Hutanielewa
 
Katiba gani? Ile mliyoigomea 2014 kwa kususa? Sasa umeona kwamba kususa hakuna faida yeyote?
 
HP anasema ukiona uvccm wanakuzonga ujue umeshayatibua kwa mwenyekiti na mchezo ndio ushaamuliwa.

Au ukiona kobe juu ya mti tazama pembeni ujue kapandishwa na mtu.
 
Back
Top Bottom