Ni jambo la kusikitisha sana topic ya maana kama hii inapovamiwa na watu wa Aina yako na kuwanyima nafasi wenye utimamu kujadiliana kwa kutumia akili.Naona katuga amekukosesha usingizi, mwishowe ukaona ujikongoje kidogo kama hivi kiwafariji manyumbu wanaozidi kupagawa. Pole sana
Sawa, nimekaa pembeni mkuu; mwaga madini taifa lisonge mbele 🙏🙏Ni jambo la kusikitisha sana topic ya maana kama hii inapovamiwa na watu wa Aina yako na kuwanyima nafasi wenye utimamu kujadiliana kwa kutumia akili.
Kuna slogan ya Invisible huwa inafikirisha sana, "Onyesha hekima yako ficha upumbavu wako"
Katuga anaokoteza vistory vya Tilahtilah ndo Anatumia kuuliza maswali.Sana sana alichokifanya jana Katuga ni kutoa siri za Heche za mambo yake ya fedha na biashara. lakini cross examination yake haijagusia lolote kumuingiza Lisu kwenye hatia ya Uhaini.
Lengo lake na CCM ni kumfanya Heche achukiwe na wana chadema kuwa anaiba hela za chadema. Ikumbuke kuwa Hche 2024 hakumwa makamu mwenyekiti...SANA SANA ALICHOKIFANYA ni ku disclose his personal financial issues ambazo have nothing to do with Uhaini! ingredients of uhaini hazijaguswa hata moja
Mkuu imemuaibisha kiaje na umetumia vigezo gani kuthibitisha kuaibika kwa HecheNi kweli kabisa.
Ila cross examination imemuaibisha sana Heche
Mkuu imemuaibisha kiaje na umetumia vigezo gani kuthibitisha kuaibika kwa Heche
njia zote zimefeli kwa kiwango cha sgr ya ujerumaniSerikali inatafuta kuivuruga chadema kwa njia zote
Sahihi, yaani kama lile swali la jezi OG ya Arsenal, sikufahamu bwana wakili msomi alitaka nini?...jezi??..Heche ni wakushindwa kununua jezi OG...tusubiriHawa vilaza wa serikali inabidi hii kesi ikiisha tuwaulize weledi wao… yaani ni kama vile hizo cross ni madodoso ya ccm kwa cdm. Heche sio mshtakiwa lakini ukisikiliza maswali yao ni kama vile wwnataka kumugeuza Heche awe mshtakiwa. Utasikia habari za matrekta na halafu wanamtisha kwamba jinai haiozi…Huyu Heche alikuwa Mbunge na alilipwa pesa ndefu baada ya ubunge, sijui hawa mawakili wanataka nini? Yaani ni kuchafuana tu halafu sujui ni kwa nini judge asiwaambie hayo maswali ni irrelavant kwenye kesi ya uhaini?
Maadamu wamefungua Pandora la kuchafuana, zamu yao yaja mapema tu. Vilaza waheedi wanakula per diem za bure tu kwa kungangania umburura na maswali yasiyo husiana na uhaini. Ni michosho sana…
Wanapoteza muda tuSana sana alichokifanya jana Katuga ni kutoa siri za Heche za mambo yake ya fedha na biashara. lakini cross examination yake haijagusia lolote kumuingiza Lisu kwenye hatia ya Uhaini.
Lengo lake na CCM ni kumfanya Heche achukiwe na wana chadema kuwa anaiba hela za chadema. Ikumbuke kuwa Hche 2024 hakumwa makamu mwenyekiti...SANA SANA ALICHOKIFANYA ni ku disclose his personal financial issues ambazo have nothing to do with Uhaini! ingredients of uhaini hazijaguswa hata moja