By any stretch of imagination, hakuna cross examination ambayo mpaka sasa imefanikiwa to implicate Lisu with treason accusations facing him!

Kesi ya kunyongwa mtu unaleta habari binafsi za shahidi na kuacha lengo kusudiwa, mtu anayefikiri vizuri si anajua hii kesi ya kutengeneza.
 
mashahidi wa Lisu waliotangulia tayari walithibitisha uhaini wa lisu kwa Zaidi ya 62%

, in fact heche ni kama anakamilisha tu kumkaanga boss wake atiwe kitanzi,
lakini pia heche mwenyewe kujikosesha credibility mbele ya chadema kwa ufisadi wake anao endelea kuuthibitisha mahakamani 🐒
 
Sahihi, yaani kama lile swali la jezi OG ya Arsenal, sikufahamu bwana wakili msomi alitaka nini?...jezi??..Heche ni wakushindwa kununua jezi OG...tusubiri
Heche tunamjua sie, hawezi nunua jezi ya laki tano bahiri sana huyo, Angalia mitumba anayovaa ni ile ya buku mbili mbili.
 
Chadema ni mpango wa Mungu CCM ana kazi kubwa so long cdm wametangulia kwenye support ya wananchi ambao wanajua kila kitu. CDM hakuna mwenye uchafu kulinganisha na upamde fulani.
 
Katuga ni wakili wa ovyo sana.
Na sijui kivipi majaji wameruhusu hilo na kama hizo shutuma dhidi ya Heche zina nafasi kwenye kesi inayoendelea!
Na kama zina nafasi, why nyaraka ziletwe nje ya utaratibu wa mahakama? Kama zilikuwa ni muhimu si lilikuwa jukumu la mahakama kuelekeza mamlaka husika zilete hizo nyaraka?
 
Kila mtu anajua waliohusika kwenye mauaji ni nani harafu wanataka kutumia muda mwingi kujidanganya wenyewe wakati Wananchi na Dunia inajua nani ndio wauaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…