Bycola Adams mwanadada mwenye mvuto na akili ndani ya tiktok

funaku

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
39,468
Reaction score
31,952
Kwa hakika nimevutiwa na sura ,haiba,sauti ,akili ,ushawishi na utulivu wa mwanadada huyu wa kitanzania anayekuja kwa kasi kwenye mtandao wa tiktok.
images (19).jpeg
 
Attachments

kila la kheri dada yetu wa Taifa
 
Jichanganye sasa..
ndio maana nikaweka picha yenye mtandio wa harusi ...tayari yupo occupied.. so sad!
Nyie vijana mnajiita GEN Z mjitazame sana msiharibu maisha
 
Kwako mtu kuharibu maisha ni kupaza sauti kwenye dhulma, kukaa kimya kwenye kutekana, kukaa kimya kwenye ubadhilifu wa mali za umma , kukaa kimya haki zinapominywa n.k!

Ni ajabu, kituko na ubinafsi wa hali ya juu mtu kupenda kuishi ktk jamii yenye mazingira kama hayo bila kufanya chochote hata kukemea tu.
 
ondoa kovu la hasira brother live your life ...uchaguzi umeisha
 
Back
Top Bottom