BYD Shark 6: Wabongo hawataki Masihara, Mil 170+ kabla ya TRA sio poa!

CMC Wana hio huduma lkn fedha yake ya kila mwezi ni nzito,Wanyonge wataishia kuziona zero km zikiwa showroom tu.

Huu ni mfano halisi kama ukitaka ulipie Chevloret Surburban kwa miezi 60, bei ya kawaida kabisa kwa mmarekani wa uchumi wa kati...(ingawa kibongo bongo hiyo ni gross ya mtu 😀)

 
Hii mashine kuna siku niliona moja BLACK nikifikiri ni Ford Ranger New Gen kusongea naona maandishi BYD DM something
 
Injini yake si yakuzungusha matairi.

Kumbe gari za showroom bado zinakuwa na deni la TRA?. Nikajua bei zao huwa zina-cover kila kitu.
 
Huu ni mfano halisi kama ukitaka ulipie Chevloret Surburban kwa miezi 60, bei ya kawaida kabisa kwa mmarekani wa uchumi wa kati...(ingawa kibongo bongo hiyo ni gross ya mtu 😀)

View attachment 3583572
Nishawahi kuandika humu hata system ya finance ikija kwa kipato cha so called middle class ya bongo hawataweza kununua gari za kawaida tu.
 
Halafu utawasikia watu 'SERIKALI IONDOE KODI GARI MPYA TUACHE KUNUNUA MITUMBA' Sasa hapo 170m kabla ya ushuru Wabongo wangali wataweza hio bei?
Wenye uwezo wa brand new car au EV hawahitaji msamaha wa kodi period.
 
Hiyo bei ya 170m ni pamoja na ushuru wa TRA ndani yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…