Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 26,961
- 77,890
Ndio, haujakosea kusoma.
Officially kampuni maarufu duniani la kutengeneza magari ya umeme kutoka China, BYD wameingia Kenya. Sio kwa used car, bali officially kama sisi Tanzania wanavyoingia San LG.
Wameanza na magari matatu ambayo ni top-selling Duniani.
Kwanza ni BYD Seal ambayo ni sedan.
Hii kwa ufupi ina battery la 62 kWh au 83 kWh, zinazokupa range ya 460 au 570 kilometa.
Ya pili ni BYD Atto 3 jina jingine BYD Yuan Plus ambayo ni SUV.
Inakuja na battery la 50 kWh itakayokupa kilometa 430 au ukitaka battery kubwa 60 kWh itakupa 510 kilometa.
Na mwisho wapenzi wa magari madogo, Hatchback kuna hii BYD Dolphin.
Hii inakuja na battery za aina tofauti tofauti kuanzia 40 kWh hadi 60 kWh zitakazokupa range tofauti tofaut kuanzia Kilometa 350 hadi 600.
Hii Dolphin itawavutia Wakenya wengi ukitegemea bei yake ya kuzinduliwa kuwa chini ya $10,000/= tu.
Kenya wanazidi kuuonesha ulimwengu kwamba wako serious na transformation ya kutoka magari ya kutumia mafuta kwenda kwenye magari ya umeme.
Kuna mtu alinilipua uko ananunua Model X.
Wametoka kuingia Partnership na kampuni la Kichina la magari Cherry hivi karibuni.
Pia, karibuni walizindua vituo vya kuchaji magari na kuongeza sheria kwamba kila commercial building lazima itenge 5% ya parking yake kwaajili ya spots za kuchajia magari ya umeme.
Pia walizindua mabus ya umeme ya kwanza kua assembled nchini kwao na wanataka by 2027 mabasi yote local yawe ya EV.
Na mwisho wameintroduce sheria ya kupunguza kodi ya magari ya hybrid na umeme na vile vile wameondoa ukomo wa umri wa magari ya umeme.
Ni muda sasa wa Tanzania na sisi kuwakaribisha investors kutoka China na sisi tupate 0 km za EV.
Pamoja.