BYD wazindua magari yao maarufu matatu ya umeme (Dolphin, Seal na Atto 3) nchini Kenya

Kenya wanawavutiaje hawa wawekezaji wakubwa?
Why not tanzania?
 
Umeme tunao wa kutosha tuingie kwenye magari ya umeme tuache mafuta yanayotugharimu pesa nyingi za kigeni
 
Kenya serikali inaheshimu wananchi kwa sababu wamekwisha tiana adabu toka kitambo..

Kama suala la starlink safaricom walitaka leta janja janja kuiomba serikali kuwazuia starlink, wananchi wakasimama kupinga, hatimae Kenya wameletewa hadi router ndogo ya starlink inaitwa starlink mini, ina bei ngogo kabisa na size ndogo ukubwa wa tablet.

Tusitegemee kila kitu kuketewa endapo tumesinzia kama nyumbu...

Mambo kama haya pasipo wananchi kusimama kupaza sauti , kiongozi gani serikalini atakukumbuka wewe mwenzako anaendeshwa na gari thamani 400M Tshs.
 
Dah hiyo router imeniuma aisee. Tunateseka sana internet hii nchi.

Hapa nina gobole la Airtel nimeshindwa kulipia 110k lipo kama maonesho.
 
Hii nchi inahujumiwa na CCM
 
Watanzania tupo matakoni mwa dunia.

Kama taifa hatujui tukitakacho, sera zetu mbovu mwaka wa 60+ toka tupate uhuru, sisi ni kujenga mashimo ya choo, maji mtihano, umeme shida, huduma za afya kero, barabara..
Viongozi wetu mafisadi waliokubuhu.
 
Watanzania tupo matakoni mwa dunia.

Kama taifa hatujui tukitakacho, sera zetu mbovu mwaka wa 60+ toka tupate uhuru, sisi ni kujenga mashimo ya choo, maji mtihano, umeme shida, huduma za afya kero, barabara..
Viongozi wetu mafisadi waliokubuhu.
Tatizo la Tanzania ni uongozi na pia elimu yetu ni finyu. Hivi umeshawahi kuangalia bunge la Kenya ukaona majadiliano yao? Wabunge wanaongea mambo ya maana na wanajua kiingereza. Unaona kabisa ni watu wenye upeo na elimu yao inawasaidia. Sisi huku kwetu kina Kibajaji na Kasheku wanaweza nini? Bunge zima limejaa mapambio ya kumsifu Samia. Hata level ya urais huwezi kumlinganisha Ruto na Samia. Kwa upeo alionao, Samia hawezi kupata ubunge Kenya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…