Bye bye ios

5 yrs experience kwenye ios na hunitoi na huniambii kitu.
Nb. Apple products are the best nipo na full package apa macbook [emoji335] smartwatch sijui utanambia nn

Tena hizo apple products zinafanya vizuri zaid ukiwa kwa ecosystem ya apple smart watch, MacBooks na phone sio poa hiyo ni killer combo
 
Mkuu hii 4k na 8k upande wa video ina maana gani ,alafu why kun video zingine youtube zina 1440 ukiziplay kwa note 10 redmi hazifanyi kazi ilihali 1080 inafanyaView attachment 1795767
Hizo ni resolution ama idadi ya pixel kwenye display/video

Simu yako wewe kioo chake ni 1080p hivyo video yoyote ya 1440p (2k), 4k ama 8k kwako haina maana.

Kifupi kwa simu hizo 4k na 8k hazina maana sana kwenye kuplay ila kwenye TV, monitor kubwa, cinema na maeneo mengine ambayo display ni kubwa zina maana, hivyo mtu anaweza kutumia simu yake kurecord video Kisha kuplay kwenye TV yake ama computer.
 
Asante obeja sana
 
Mkuu, tafuta Google Pixel nakuhakikishia narudia tena, nakuhakikishia huna cha kupoteza hutajutia na Utanishukuru sana!
 
Ina maana Samsung nao wanatumia MTK...?
 
mkuu ulikuwa una miliki iphone ya aina gani...

na kwani Iphone ina kula sana bando au sijaelewa maana tuna taka tu dubbukie huko
 
Shida ya Samsung ni battery kutostore power kwa muda mrefu

Yaani inaisha chaji chap hadi kero sasa
 
Shida ya Samsung ni battery kutostore power kwa muda mrefu

Yaani inaisha chaji chap hadi kero sasa
Hyo inategemea ni gani. Sio kwamba Samsung ndio zipo hvo. Ukinunua simu za Samsung refurbished ndio zinakua hvo. Ukinunua Samsung mpya itakua vizuri tu kwenye charge
 
Chief sorry, kati ya alibaba, amazon, aliexpress wapi kuzuri kuagiza mizigo / kununua products?

Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
Alibaba inauza vitu kwa jumla yaani idadi kubwa ya mzigo, AliExpress wao ni kampuni tanzu ya Alibaba wanauza reja reja na ndiyo wanafaa. Hao Amazon wamarekani gharama ni kubwa vile vile Ebay. Nilianza kununulia Ebay Samsung yangu ila sasa nina brand nzuri ya Kichina nimenunua kupitia AliExpress.

Sent from my N20 using JamiiForums mobile app
 
Mtoa post nina mashaka na wewe ni ngum kutumia iphon kwa miaka 7 halaf leo uje useme ivo ukishatumia iphon miak 3 tu bas unakuwa Addicted na Iphone sasa ww miaka 7. Nima mashaka na ww
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…