Nafaka
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 12,154
- 31,246
Unajua toka mwaka 2015 apple alifile patent ya curved screen ila mpaka leo hajawahi kuitumia. nasubiri siku aitumie nione itakuwaje.Hii ilikiwa chumvi sana,walizidisha aisee.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unajua toka mwaka 2015 apple alifile patent ya curved screen ila mpaka leo hajawahi kuitumia. nasubiri siku aitumie nione itakuwaje.Hii ilikiwa chumvi sana,walizidisha aisee.
Ukiona hivyo kaihifadhi kwa yajayo.Unajua toka mwaka 2015 apple alifile patent ya curved screen ila mpaka leo hajawahi kuitumia. nasubiri siku aitumie nione itakuwaje.
Yes, na mwaka jana kafile patent ya desktop yenye curved glass iliyoungana na keyboardUkiona hivyo kaihifadhi kwa yajayo.
Ana mahesabu team yenye mahesabu mazuri sana.
Anajua kwenye upande wa research kunakwangua mfuko,anachofanya ni kujiandaa kuziboresha hizi hizi tafiti za waliozifanya juu juu.Yes, na mwaka jana kafile patent ya desktop yenye curved glass iliyoungana na keyboard
Jamaa slow mover, mpaka sasa hajatoa laptop ambayo ni touch. 3D touch kwenye iphone aliiondoa pia kwakuwa anada wengi walikuwa hawaitumii na walahawaui uwepo wake.Anajua kwenye upande wa research kunakwangua mfuko,anachofanya ni kujiandaa kuziboresha hizi hizi tafiti za waliozifanya juu juu.
Issue ni kwamba Apple hafanyi gimmicks. Anakueletea product inayofanya kazi vizuri katika kila sector. Simu za Android nyingi zinategemea gimmicks ili kuuza simu. Watakuletea 100x zoom mwaka huu then wanaitoa mwaka ujao. Mara mwaka huu kakuletea 60W fast charging then mwaka ujao anaitoa na kurudisha 25W. Huu ndio upuuzi wa Android manufacturers. OEMs hawako consistent kma Apple alivyo na Apple anatoa refined products.Yes, na mwaka jana kafile patent ya desktop yenye curved glass iliyoungana na keyboard
Sure, kama feature haina kazi ya kueleweka wanaweka pending.Issue ni kwamba Apple hafanyi gimmicks. Anakueletea product inayofanya kazi vizuri katika kila sector. Simu za Android nyingi zinategemea gimmicks ili kuuza simu. Watakuletea 100x zoom mwaka huu then wanaitoa mwaka ujao. Mara mwaka huu kakuletea 60W fast charging then mwaka ujao anaitoa na kurudisha 25W. Huu ndio upuuzi wa Android manufacturers. OEMs hawako consistent kma Apple alivyo na Apple anatoa refined products.
Mm nazikubali simu za Google Pixel & Sony sababu zipo consistent kma walivyo Apple. Hawategemei gimmick features ili kuuza simu. Wanakupa simu inayofanya kazi inayotakiwa. Google waliboronga na Google Pixel 5 tu sababu ni downgrade ukilinganisha na 4 ila ni simu zenye user experience nzuri sana.
Mimi situmii iPhone kwasabab ya iOS tu. Sitaki mambo ya kufanya step 10 kwa jambo ambalo ningetumia step 2 kwenye Android. Ila kma iPhones zingekua na option ya kuinstall Android ningezitumia 100%.
Mimi nimetumia MTK 1 kwa miaka mi5 hadi nilipoamua mwenyewe kuachana nayo sikuwahi kupata issue yoyote. Hadi sasa inatumika kwani nilimpa mtu, inadunda fresh.Hizo simu huwa mnauziwa wapi?
Mimi nina simu yenye MTK na huu ni mwaka wangu wa pili naitumia, wala sijawahi kuona hayo mapungufu mnayosema.
Cha acheni kununua second hand materials
Kuna wala ugali wasioweza kutengeneza hata toothpick wanalishana ujingaMimi nimetumia MTK 1 kwa miaka mi5 hadi nilipoamua mwenyewe kuachana nayo sikuwahi kupata issue yoyote. Hadi sasa inatumika kwani nilimpa mtu, inadunda fresh.
Naungana na wewe kuwa ni suala la kuchagu tu
Na ukiona app haionekani app store ujue haijafika standards za kuwekwa huko.Issue ni kwamba Apple hafanyi gimmicks. Anakueletea product inayofanya kazi vizuri katika kila sector. Simu za Android nyingi zinategemea gimmicks ili kuuza simu. Watakuletea 100x zoom mwaka huu then wanaitoa mwaka ujao. Mara mwaka huu kakuletea 60W fast charging then mwaka ujao anaitoa na kurudisha 25W. Huu ndio upuuzi wa Android manufacturers. OEMs hawako consistent kma Apple alivyo na Apple anatoa refined products.
Mm nazikubali simu za Google Pixel & Sony sababu zipo consistent kma walivyo Apple. Hawategemei gimmick features ili kuuza simu. Wanakupa simu inayofanya kazi inayotakiwa. Google waliboronga na Google Pixel 5 tu sababu ni downgrade ukilinganisha na 4 ila ni simu zenye user experience nzuri sana.
Mimi situmii iPhone kwasabab ya iOS tu. Sitaki mambo ya kufanya step 10 kwa jambo ambalo ningetumia step 2 kwenye Android. Ila kma iPhones zingekua na option ya kuinstall Android ningezitumia 100%.
kwamba iphone hazina Gimmick? 3d touch, Ar ya iphone(animoji), retina display, notch, soc yao wenyewe A14 ni gimmick, benchmark ina score 1000 real life 500, Apple na Samsung wapo dunia yao wenyewe linapokuja suala la Gimmicks aisee.Issue ni kwamba Apple hafanyi gimmicks. Anakueletea product inayofanya kazi vizuri katika kila sector. Simu za Android nyingi zinategemea gimmicks ili kuuza simu. Watakuletea 100x zoom mwaka huu then wanaitoa mwaka ujao. Mara mwaka huu kakuletea 60W fast charging then mwaka ujao anaitoa na kurudisha 25W. Huu ndio upuuzi wa Android manufacturers. OEMs hawako consistent kma Apple alivyo na Apple anatoa refined products.
Mm nazikubali simu za Google Pixel & Sony sababu zipo consistent kma walivyo Apple. Hawategemei gimmick features ili kuuza simu. Wanakupa simu inayofanya kazi inayotakiwa. Google waliboronga na Google Pixel 5 tu sababu ni downgrade ukilinganisha na 4 ila ni simu zenye user experience nzuri sana.
Mimi situmii iPhone kwasabab ya iOS tu. Sitaki mambo ya kufanya step 10 kwa jambo ambalo ningetumia step 2 kwenye Android. Ila kma iPhones zingekua na option ya kuinstall Android ningezitumia 100%.
Zenfone 8 nimeielewa saanakwamba iphone hazina Gimmick? 3d touch, Ar ya iphone(animoji), retina display, notch, soc yao wenyewe A14 ni gimmick, benchmark ina score 1000 real life 500, Apple na Samsung wapo dunia yao wenyewe linapokuja suala la Gimmicks aisee.
kwenye simu Hands down asus kwa sasa ndio ana innovate kushinda wote, kwa muono wangu.
hata mimi nimeielewa sana, pamoja na Rog phone 5Zenfone 8 nimeielewa saana
Iko vizuri pia, Zenfone ni simu ndogo ambazo napenda kabisa halafu wameua na SD 888 daaah!hata mimi nimeielewa sana, pamoja na Rog phone 5
Mkuu hii 4k na 8k upande wa video ina maana gani ,alafu why kun video zingine youtube zina 1440 ukiziplay kwa note 10 redmi hazifanyi kazi ilihali 1080 inafanyahata mimi nimeielewa sana, pamoja na Rog phone 5
3D touch ashaiondoa watu wengi hawakuipokea vizurikwamba iphone hazina Gimmick? 3d touch, Ar ya iphone(animoji), retina display, notch, soc yao wenyewe A14 ni gimmick, benchmark ina score 1000 real life 500, Apple na Samsung wapo dunia yao wenyewe linapokuja suala la Gimmicks aisee.
kwenye simu Hands down asus kwa sasa ndio ana innovate kushinda wote, kwa muono wangu.
Hongera i sheep5 yrs experience kwenye ios na hunitoi na huniambii kitu.
Nb. Apple products are the best nipo na full package apa macbook 💻 smartwatch sijui utanambia nn