Bye bye ios

Bye bye ios

Ki
Sijawahi kutumia Android na sitamani [emoji3]
Change Apple Store Yako, Tumia store Ya Us [emoji631] kuna apps nyingi na nzuri zenye msaada Na zingine kuangalia movies ni buree kabisaa!! Bando laaako tuuu
Sijawahi kutumia Android na sitamani [emoji3]
Change Apple Store Yako, Tumia store Ya Us [emoji631] kuna apps nyingi na nzuri zenye msaada Na zingine kuangalia movies ni buree kabisaa!! Bando laaako tuuuView attachment 1794524
Mkuu kila siku utakuwa unasaga bando tu, wakati android unaweza kudownload na ukacheki baadae. Huko ios sana sana ni online tu
 
Ndogo mno.

Hii simu ninayotumia kwa jf ina apps chache sana na haina mambo mengi. Ina 4gb Ram.

Ila ni nzito kupita maelezo.

Imenibidi niwe na simu mbili nagawanya majukumu.
Ume Hakikisha kinachokwamisha simu ni ram? Unaweza kuta simu ina ram 4gb lakini storage yake ni Emmc hivyo itakua slow.

Mimi pia simu yangu ni 4gb ram, as long as sifungui app nzito sijawahi kuona ikiwa slow, vitu vya kawaida kama JF, whatsapp, etc 4gb ram Inatosha.
 
ios nimetumia mwaka mmoja tu nimeona upuuzi..

Nimerudi android ila sio Samsung, maana stress za huyo mkorea nayo ni habari nyingine..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] I told u,,, uarudi tu mzee[emoji23][emoji23][emoji23] ona sasaaaa
 
Ume Hakikisha kinachokwamisha simu ni ram? Unaweza kuta simu ina ram 4gb lakini storage yake ni Emmc hivyo itakua slow.

Mimi pia simu yangu ni 4gb ram, as long as sifungui app nzito sijawahi kuona ikiwa slow, vitu vya kawaida kama JF, whatsapp, etc 4gb ram Inatosha.
Nilikuwa na apps nzito na zinakula ram sana ndo maana nikazihamishia simu nyingine na hii ikabaki na apps za social media zaidi ila serious apps nimezihamishia kwenye simu nyingine..
 
Ni kuongea tu uhalisia mkuu... Ukitaka performance kubwa lazima uchome account ila kuna smu za bei nafuu nzuri sana na zinakidhi kila kitu sijajua kama tz zipo... Mfano Poco F3 simu nzuri sana hii... Best value for money na unapata kila kitu wala haina mtk[emoji23][emoji23]

Sent from my SM-G970U1 using JamiiForums mobile app
Wacha wee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ndogo mno.

Hii simu ninayotumia kwa jf ina apps chache sana na haina mambo mengi. Ina 4gb Ram.

Ila ni nzito kupita maelezo.

Imenibidi niwe na simu mbili nagawanya majukumu.
pole sana maana 4GB ram ni kubwa sana kwa simu so hiyo simu yako tatizo sio ram kabisa. itakuwa ni tekno au infinix pole
 
Baada ya miaka kama 7 hivi kuwa mtumiaji mzuri wa ios phone (iPhone) hatimae huu mwaka nahitaji kujiondoa rasmi.

Sababu ya kujiondoa ni kutokana na kupangiwa baadhi ya mambo ikiwemo kunyimwa Uhuru kwenye chombo changu.

Maana siwezi kudownload Movie, Siwezi kudownload Nyimbo mbalimbali yaani wao ni mwendo wa Kula Bando Tu kila sehemu sasa nimeamua kujitoa rasmi.

Sasa Nimeamua kurudi kwenye Android zetu hizi zenye Uhuru wa kuifanya unavyotaka ila nimeshindwa kuchagua ni simu gani nzuri kuanzia utunzaji wa chaji, ubora wa Camera, na Speed ya internet kama 4G.

Nimejaribu kutembelea madukani nimekutana na Samsung nyingi lakini katika process ya kucheki specific zake nakutana na chip za MTK tu, nimeshindwa kuelewa inamaana siku hizi Samsung wameamua kuhamisha simu zao kutoka Qualcom Hadi kwenda Mtk. Na Mimi chip ya Mtk huwa siziamini kabsa.

Wadau naomba maoni yenu ni simu gani nzuri hapo

Oppo, Samsung, Nokia, Redmi.

Bajeti yangu ni Laki Tano.
Wewe umeenda kutafuta Samsung kariakoo?! Kwenye duka linalouza sim za kampuni zote.
 
pole sana maana 4GB ram ni kubwa sana kwa simu so hiyo simu yako tatizo sio ram kabisa. itakuwa ni tekno au infinix pole
[emoji23][emoji23][emoji23] yangu ni Huawei P9 ya mwaka 2016 ina 3GB ila haigandi kabisaa, sijajua matumizi yake yakoje
 
Hamna kitu hizo processor
Ni kwanini? Huamini kwamba vitu uwa vinaboreshwa? Miaka ya nyuma processor za AMD zilikuwa so weak compared to intel lakini sasa game kimechange.
Hata mm bado siziamini ila taratibu wanaziboresha
 
Ndugu, kama unabisha basi ubishe sababu unataka kushinda ila kama ni kutetea ukweli then jua utakuwa unakosea.

Mimi nilinunua Tecno P5 mpya dukani mwaka 2013, nilitumia hadi mwaka 2016.

Its a matter of time hadi balaa litapoanza......
 
Unaongelea simu ya miaka 7 iliyopita mkuu, mengi yamebadilik. Teknolojia iko kasi sana.
Sikatai kwamba compared na socks nyingine bado ni inferior ila now zimeboreshwa ukilinganisha na za hapo nyuma zilikuwa takataka kweli.
Kwa mtumiaj wa kawaida wa simu anayejali tu jina la simu, anaweza nunua samsung A12 na asinotice chochote
 
Oppo Reno 5G hamia humo mkuu ule mema ya nchi! Bei ni zile zile kama iPhone ila simu ya uhakika!
 
Baada ya miaka kama 7 hivi kuwa mtumiaji mzuri wa ios phone (iPhone) hatimae huu mwaka nahitaji kujiondoa rasmi.

Sababu ya kujiondoa ni kutokana na kupangiwa baadhi ya mambo ikiwemo kunyimwa Uhuru kwenye chombo changu.

Maana siwezi kudownload Movie, Siwezi kudownload Nyimbo mbalimbali yaani wao ni mwendo wa Kula Bando Tu kila sehemu sasa nimeamua kujitoa rasmi.

Sasa Nimeamua kurudi kwenye Android zetu hizi zenye Uhuru wa kuifanya unavyotaka ila nimeshindwa kuchagua ni simu gani nzuri kuanzia utunzaji wa chaji, ubora wa Camera, na Speed ya internet kama 4G.

Nimejaribu kutembelea madukani nimekutana na Samsung nyingi lakini katika process ya kucheki specific zake nakutana na chip za MTK tu, nimeshindwa kuelewa inamaana siku hizi Samsung wameamua kuhamisha simu zao kutoka Qualcom Hadi kwenda Mtk. Na Mimi chip ya Mtk huwa siziamini kabsa.

Wadau naomba maoni yenu ni simu gani nzuri hapo

Oppo, Samsung, Nokia, Redmi.

Bajeti yangu ni Laki Tano.
Naomba nikushauri kuna toleo la "Xiaomi" hizi cmu za wachina uhakika sana japo watu wengi hawajazijua simu ni kali kuanzia camera, storage na battery waranti ya uhakika ukipata muda fuatilia...ni ushuri tuu. Tukirudi kwenye machaguo yako Samsung ni bora kuliko kwa budget yako nakushauri uchkue A70,S9+ Galaxy au Note 8 bei inaweza ongezeka kidogo.
 
pole sana maana 4GB ram ni kubwa sana kwa simu so hiyo simu yako tatizo sio ram kabisa. itakuwa ni tekno au infinix pole
Actually ni samsung.

Unavyoonesha elimu ilivyokupiga chenga hata simple reasoning unashindwa.
 
Back
Top Bottom