MoneyHeist4
JF-Expert Member
- Jul 10, 2017
- 2,134
- 3,192
- Thread starter
- #201
si mbaya mkuu, still kwa simu zilizopo Tanzania za laki 5 hakuna yenye specs kama hizo.
jambo muhimu ambalo tumesahau kulizungumza huko juu ni frequency.
redmi note 10 international version ina band zote za 4G za kwetu ila YA INDIA haina band 7 na 20 inamaana hutapata Tigo 4g nje ya jiji na hutapata 4g ya halotel, chunguza hio simu ni ya wapi? kama upo dar vyema nenda na line ya halotel 4g kuhakiki.
Mkuu nisaidie kucheki hapo nimetuma picha uone hizo frequency kama itakuwa vyema hapa Tanzania.