MoneyHeist4
JF-Expert Member
- Jul 10, 2017
- 2,134
- 3,192
- Thread starter
- #181
Muoga yeye tu huyu mwamba 70 mingi
Redmi note 9T vs Redmi Note 10
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muoga yeye tu huyu mwamba 70 mingi
Kwangu note10 n nzur amoled tamu sanaRedmi note 9T vs Redmi Note 10
Huawei p30.. ndo penyewe
Kwangu note10 n nzur amoled tamu sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Upo sahihi mkuu... Huwezi kuta mtk kwenye samsung S au note series... But zile za bei nafuu kama ulizotaja zina chip za mtk.. Tecno na infinix ndio nyumbani kwao[emoji3]
Sent from my SM-G970U1 using JamiiForums mobile app
Mkuu hupendi amani kabisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu unamaanisha nini unaposema "kama unavisha simu cover".NORD 10N simu kali sana kama unavisha simu cover,
SD 690G kwa simu chini ya dola 300 ni nzuri, pia ina 5G future proof.
Napenda amani sana, nacheka mnavosikashifu cm zetu na MTK zetu. [emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu hupendi amani kabisa[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my SM-G970U1 using JamiiForums mobile app
Ni kuongea tu uhalisia mkuu... Ukitaka performance kubwa lazima uchome account ila kuna smu za bei nafuu nzuri sana na zinakidhi kila kitu sijajua kama tz zipo... Mfano Poco F3 simu nzuri sana hii... Best value for money na unapata kila kitu wala haina mtk[emoji23][emoji23]Napenda amani sana, nacheka mnavosikashifu cm zetu na MTK zetu. [emoji23][emoji23][emoji23]
Inaezekana ukawa sio mtumiaji wa vitu heavy, A21s nimekaa nayo hata mwezi haujafika tayari ikaanza kukwama ikabidi nirudi zangu kwa oppo real meA21s
Kikawaida oneplus simu zao ni za Alluminium ama zina Alluminium frame, toka wanaanza,Mkuu unamaanisha nini unaposema "kama unavisha simu cover".
A21s haina core kubwa ni core 8 ndogo hivyo huwezi tumia kwa matumizi makubwaInaezekana ukawa sio mtumiaji wa vitu heavy, A21s nimekaa nayo hata mwezi haujafika tayari ikaanza kukwama ikabidi nirudi zangu kwa oppo real me
Nilikuwa namshangaa jamaa anaisifia ndo nikamwambia hana matumizi na simuA21s haina core kubwa ni core 8 ndogo hivyo huwezi tumia kwa matumizi makubwa
A21s haina core kubwa ni core 8 ndogo hivyo huwezi tumia kwa matumizi makubwa
Hizo simu huwa mnauziwa wapi ?
Mimi nina simu yenye MTK na huu ni mwaka wangu wa pili naitumia, wala sijawahi kuona hayo mapungufu mnayosema.
Cha acheni kununua second hand materials
si mbaya mkuu, still kwa simu zilizopo Tanzania za laki 5 hakuna yenye specs kama hizo.Mkuu nataka kuvuta Redmi Note 10 hapa 4RAM 128Gb kwa 500k vipi nitakuwa nimepigwa?
si mbaya mkuu, still kwa simu zilizopo Tanzania za laki 5 hakuna yenye specs kama hizo.
jambo muhimu ambalo tumesahau kulizungumza huko juu ni frequency.
redmi note 10 international version ina band zote za 4G za kwetu ila YA INDIA haina band 7 na 20 inamaana hutapata Tigo 4g nje ya jiji na hutapata 4g ya halotel, chunguza hio simu ni ya wapi? kama upo dar vyema nenda na line ya halotel 4g kuhakiki.