Bye bye ios

Bye bye ios

Napenda amani sana, nacheka mnavosikashifu cm zetu na MTK zetu. [emoji23][emoji23][emoji23]
Ni kuongea tu uhalisia mkuu... Ukitaka performance kubwa lazima uchome account ila kuna smu za bei nafuu nzuri sana na zinakidhi kila kitu sijajua kama tz zipo... Mfano Poco F3 simu nzuri sana hii... Best value for money na unapata kila kitu wala haina mtk[emoji23][emoji23]

Sent from my SM-G970U1 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu unamaanisha nini unaposema "kama unavisha simu cover".
Kikawaida oneplus simu zao ni za Alluminium ama zina Alluminium frame, toka wanaanza,

Ila tokea waanze kutengeneza midrange na low-end wanatumia plastic, Tena sio plastic tu ya kawaida, ni plastic dhaifu ambayo haina mvuto wala ubora,

Kutokana na ubora huu hafifu cover ni muhimu kwa hizi simu.
 
Hizo simu huwa mnauziwa wapi ?

Mimi nina simu yenye MTK na huu ni mwaka wangu wa pili naitumia, wala sijawahi kuona hayo mapungufu mnayosema.

Cha acheni kununua second hand materials

2nd hand hazina shida iwapo utanunua kwenye duka linaloeleweka, kuna duka lipo Moshi wanauza simu 2nd hand wanazitoa kenya na sijaona tatizo nilinunua Samsung nikaitumia nikaichoka nikairudisha nikaongeza Pesa kidogo nikachukua Huawei. Hiyo Samsung niliyoichukua illikuwa imenyooka.
 
Mkuu nataka kuvuta Redmi Note 10 hapa 4RAM 128Gb kwa 500k vipi nitakuwa nimepigwa?
si mbaya mkuu, still kwa simu zilizopo Tanzania za laki 5 hakuna yenye specs kama hizo.

jambo muhimu ambalo tumesahau kulizungumza huko juu ni frequency.

redmi note 10 international version ina band zote za 4G za kwetu ila YA INDIA haina band 7 na 20 inamaana hutapata Tigo 4g nje ya jiji na hutapata 4g ya halotel, chunguza hio simu ni ya wapi? kama upo dar vyema nenda na line ya halotel 4g kuhakiki.
 
Sawa, nitajaribu nione
 
Ahsante mkuu.
 
8BF90A99-C5A4-430B-AC32-692BCDB0C9F1.jpeg
 
Back
Top Bottom