Bye bye ios

Mkuu performance ya Poco M3 ipoje. Nataka kuinunua, now natumia redmi note 6 pro ambayo kwa matumizi yangu imenifaa kasoro kipengele cha betri tu.
 
Mkuu performance ya Poco M3 ipoje. Nataka kuinunua, now natumia redmi note 6 pro ambayo kwa matumizi yangu imenifaa kasoro kipengele cha betri tu.
Poco M3 jina jengine ni Xiaomi redmi 9T ambayo inapatikana kwa around 310,000 mpaka 350,000.

Kutokea Redmi note 6 pro Uta upgrade kila idara, SD 662 kwenye M3 ipo faster zaidi, na pia ni efficient haili sana charge.

Utapata storage zenye speed za ufs na battery kubwa la 6000mah.

Suala Zima la ukaaji chaji M3 itakaa na chaji kama Mara 2 ya note 6 pro.
 
Shukrani sana mkuu. Ngoja niagize. Hii redmi 9T ni simu tofauti au ni hiyo hiyo Poco M3 (simu moja majina mawili?)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…