Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtoa uzi mjanja mjanja mno
Nimemfatilia ila ngoja nione ataamua nn?
Watu wameshauri
Ila anaonekana anajua chocho zote
Ngoja nione ataangukia wapi.
Pole sana mkuu
Nina mwezi natumia IOS maisha matamu sana nadownload nyimbo fresh tu na kuna application ya audio player hata android ipo inaitwa eSound ndo inapiga mzigo kama kawaida
Mkuu hizo nyimbo zitabaki humo humo huwezi kuhamisha kuweka hata kwenye flash. Huwezi kudownload movie na kuhamisha. Yaani nyimbo zao mpaka uwe na Audiomack, n.k
Unapakua nyimbo za 128kbps zenye ubora wa mwisho kabisa. Anza angalau kwenye 360kbps na kadri muda unaenda na unapata simu za juu zaidi unasikiliza lossless audio kutoka Deezer au Audiomac.Sio kweli nimedownload nyimbo kupitia safari browser na nikitaka kuhamisha kwenye pc au simu yoyote ya android natumia Xender View attachment 1792759
Unapakua nyimbo za 128kbps zenye ubora wa mwisho kabisa. Anza angalau kwenye 360kbps na kadri muda unaenda na unapata simu za juu zaidi unasikiliza lossless audio kutoka Deezer au Audiomac.
128kbps hata vifaa vilivyotumika kwenye mziki huvisikii hata uwe na home theater
Sio kweli nimedownload nyimbo kupitia safari browser na nikitaka kuhamisha kwenye pc au simu yoyote ya android natumia Xender View attachment 1792759
Uko sahihi kabisa, watu hawajui matumizi wanakimbilia kujudge, Safari Browser mm huwa nadownload Movie na Tv show kibao, kuhusu Mziki ukiwa na Apple Music au Spotify unapata miziki yote ukiwa na premium ndio offline kabisa ila hata ukitaka ya kudownload unatumia na unaplay kuna player built in au zingine kibao VLC included zipo App store. Na kuhamisha vitu kwa Androi unahamisha chochote na Xender au hata kwa Pc.
Haiko Closed ki hivyo ni jinsi ya kufaham utumiaji wake tu, kuhama ni mpaenzi unaweza ukmiss Android ukatumia then ukichoka unaenda iOS ni kawaida sawa na kubadilisha Chakula.
Na kuna mtu ana judge hajawahi hata kutumia iOS anasikiliza maneno ya watu, ukitumia vyote ndio unajuza Strength na Weaknesses za hizi OS zote.
Unachofanya kwenye android kinawezekana na iOS, Swali li kuuliza how? Uelekezwe
Oppo Reno 5 5G ina premium looking ila ni overpriced. Hakuna simu napenda kwa sasa kama hii, ila bei yake kubwa sana kama kawaida ya OppoChukua Oppo Reno 5 ya 5G au Oppo Find X Pro.
Mimi siku naona price nikaona hii siyo level yanguOppo Reno 5 5G ina premium looking ila ni overpriced. Hakuna simu napenda kwa sasa kama hii, ila bei yake kubwa sana kama kawaida ya Oppo
hivi kwa budget ya 400k unapata redmi ipi kali?Una budget kiasi gani?
Kwa samsung nzuri ya bei rahisi ni A52 ambayo ni zaidi ya laki 7, chini ya hapo hupati simu kali atleast kwa generation hii.
Ambayo ina afadhali ni Hii A22 ambayo inatoka sasa hivi, japo ni mediatek ila mediatek yake ina nguvu kidogo.
Ukitaka simu nzuri za laki 5 kushuka ni za Xiaomi,
Na pia kama unatoka iphone Angalia unapenda simu ndogo? Maana simu nyingi za Android low end zina vioo vikubwa
Simu zinapewa kiki sana. Kisa zina Super VOOC na reverse charging basi wanazipaisha na kuzijaza bei isiyostahili. Ila mkuu hizi sio dhaifu wala cheapReno 5 ni Simu dhaifu Sana japo zinafanyiwa promo hapa kwetu, ni Simu cheap!! Lakini kwetu zinauzwa gharama Sana.
Bora nichukue Note 9s au Poco M3 tofauti ya bei sio zaidi ya laki. Nikiwa na 550k nabadili hii simu niliyonayo nimekaa nayo siku 601 sasa ila haina shida. Tatizo najua MIUI ina deko haiko stable kama Color niliyozoeaMimi siku naona price nikaona hii siyo level yangu
IZO readme nataka kuchukua 9C imeakaaje hapo kwa MTKKwa matumizi ya kawaida kuanzia A32 siyo mbaya sana... Pia kama unaweza pata redmi, xiaomi, oneplus au meizu kidogo unaweza pata smu nzuri... Ila kama unataka mambo mazuri anagalia S na Note series... Na wwe kama umetoka kutumia ios kidogo unaweza afford
Sent from my SM-G970U1 using JamiiForums mobile app
Safi kabisa unahitajika utundu wa hali ya juu kutumia simu za IOS
Tatizo wabongo wananunua kwaajili ya show off bas matuminzi hawajui [emoji1787]
iOS kuna features muhimu kibao mfano, Built in Scanner kwa ajili ya documents hamna haja ya kudownload apps nyingine, Kuna Code scanner ambayo ukienda Restaurant nzuri unascan code unapata full menu na price zote bila usumbufu...n.k shida ni kuijaribu kuizoea iOS na sio pambo la show off kama vijana wengi wanavyofanya[emoji23][emoji23]
NORD 10N simu kali sana kama unavisha simu cover,Bora nichukue Note 9s au Poco M3 tofauti ya bei sio zaidi ya laki. Nikiwa na 550k nabadili hii simu niliyonayo nimekaa nayo siku 601 sasa ila haina shida. Tatizo najua MIUI ina deko haiko stable kama Color niliyozoea
Kwa uo mkwanja Nokia 6.2 unaionaje?Baada ya miaka kama 7 hivi kuwa mtumiaji mzuri wa ios phone (iPhone) hatimae huu mwaka nahitaji kujiondoa rasmi.
Sababu ya kujiondoa ni kutokana na kupangiwa baadhi ya mambo ikiwemo kunyimwa Uhuru kwenye chombo changu.
Maana siwezi kudownload Movie, Siwezi kudownload Nyimbo mbalimbali yaani wao ni mwendo wa Kula Bando Tu kila sehemu sasa nimeamua kujitoa rasmi.
Sasa Nimeamua kurudi kwenye Android zetu hizi zenye Uhuru wa kuifanya unavyotaka ila nimeshindwa kuchagua ni simu gani nzuri kuanzia utunzaji wa chaji, ubora wa Camera, na Speed ya internet kama 4G.
Nimejaribu kutembelea madukani nimekutana na Samsung nyingi lakini katika process ya kucheki specific zake nakutana na chip za MTK tu, nimeshindwa kuelewa inamaana siku hizi Samsung wameamua kuhamisha simu zao kutoka Qualcom Hadi kwenda Mtk. Na Mimi chip ya Mtk huwa siziamini kabsa.
Wadau naomba maoni yenu ni simu gani nzuri hapo
Oppo, Samsung, Nokia, Redmi.
Bajeti yangu ni Laki Tano.