Bye bye ios

Pole sana mkuu
Nina mwezi natumia IOS maisha matamu sana nadownload nyimbo fresh tu na kuna application ya audio player hata android ipo inaitwa eSound ndo inapiga mzigo kama kawaida
 
Mtoa uzi mjanja mjanja mno

Nimemfatilia ila ngoja nione ataamua nn?

Watu wameshauri
Ila anaonekana anajua chocho zote


Ngoja nione ataangukia wapi.

[emoji41] mkuu kuhusu simu naelewa sana. Ila sina uzoefu sana
 
Pole sana mkuu
Nina mwezi natumia IOS maisha matamu sana nadownload nyimbo fresh tu na kuna application ya audio player hata android ipo inaitwa eSound ndo inapiga mzigo kama kawaida

Mkuu hizo nyimbo zitabaki humo humo huwezi kuhamisha kuweka hata kwenye flash. Huwezi kudownload movie na kuhamisha. Yaani nyimbo zao mpaka uwe na Audiomack, n.k
 
Sio kweli nimedownload nyimbo kupitia safari browser na nikitaka kuhamisha kwenye pc au simu yoyote ya android natumia Xender View attachment 1792759
Unapakua nyimbo za 128kbps zenye ubora wa mwisho kabisa. Anza angalau kwenye 360kbps na kadri muda unaenda na unapata simu za juu zaidi unasikiliza lossless audio kutoka Deezer au Audiomac.

128kbps hata vifaa vilivyotumika kwenye mziki huvisikii hata uwe na home theater
 

Inategemea na site ambayo nimepakulia hizo nyimbo
 
Sio kweli nimedownload nyimbo kupitia safari browser na nikitaka kuhamisha kwenye pc au simu yoyote ya android natumia Xender View attachment 1792759

Uko sahihi kabisa, watu hawajui matumizi wanakimbilia kujudge, Safari Browser mm huwa nadownload Movie na Tv show kibao, kuhusu Mziki ukiwa na Apple Music au Spotify unapata miziki yote ukiwa na premium ndio offline kabisa ila hata ukitaka ya kudownload unatumia na unaplay kuna player built in au zingine kibao VLC included zipo App store. Na kuhamisha vitu kwa Androi unahamisha chochote na Xender au hata kwa Pc.

Haiko Closed ki hivyo ni jinsi ya kufaham utumiaji wake tu, kuhama ni mpaenzi unaweza ukmiss Android ukatumia then ukichoka unaenda iOS ni kawaida sawa na kubadilisha Chakula.

Na kuna mtu ana judge hajawahi hata kutumia iOS anasikiliza maneno ya watu, ukitumia vyote ndio unajuza Strength na Weaknesses za hizi OS zote.

Unachofanya kwenye android kinawezekana na iOS, Swali li kuuliza how? Uelekezwe
 
Samsung a32 5g bado ni simu nzuri kwa sababu inatumia Mediatek Dimensity 720 5g.
Dimensity series zina uwezo tu mkubwa ukilinganisha na baadhi ya SoC za qualcom

Japo bei ya samsung a32 inaweza ghari kwa sababu kuna simu zinatumia Dimensity 720 5g na bei ni chini ya 450k.
Mfano ni redmi note 10 5g ambayo ina vitu vingi vizuri kuliko a32 5g.

Lakini kama snapdragoni ni kipaumbele kwako nadhani Vivo U3X inakufaa kwa sababu kiuwezo inaipita redmi note 10 5g na samsung a32 5g.

Vivo U3X inatumia snapdragon 480 ambayo ina modem ya 5g pia na kiuwezo inazipita cpu nyingi tu za hivi karibuni.
Japo vitu vingine vya kawaida sana.


Bei ya Vivo u3x aliexpres inaenda TZS 435,908.89 mpaka uipate.
 

Safi kabisa unahitajika utundu wa hali ya juu kutumia simu za IOS
Tatizo wabongo wananunua kwaajili ya show off bas matuminzi hawajui [emoji1787]
 
Mtu ananunua simu ya laki tatu alafu analazimisha apate Qualcomm Snapdragon. Nasema hivi, kama unanunua simu ya kuanzia 2020 na una chini ya kama 1.5M wewe hustahili kuizodoa MTK. Mfano kampuni gani kichaa ikuwekee MTK Dimension 1200 kwenye simu ya laki 8? Hiyo ni biashara au msaada.

Zipo Mediatek kibao zinazizidi Qualcomm, inategemea siku yako ni midrange, high end au flagship. Flagships zote zina Qualcomm, high ends nyingi zina Qualcomm ila midrange kwenye 800,000 hadi 1.4M kukutana na MTK sio ajabu kabisa. Testing za benchmarks zinatoa marks kwa processors na MTK inafanya sawa kwenye range yake.

Kama una si zaidi ya 550k kachukue Poco M3
 
hivi kwa budget ya 400k unapata redmi ipi kali?
 
Reno 5 ni Simu dhaifu Sana japo zinafanyiwa promo hapa kwetu, ni Simu cheap!! Lakini kwetu zinauzwa gharama Sana.
Simu zinapewa kiki sana. Kisa zina Super VOOC na reverse charging basi wanazipaisha na kuzijaza bei isiyostahili. Ila mkuu hizi sio dhaifu wala cheap
 
Mimi siku naona price nikaona hii siyo level yangu
Bora nichukue Note 9s au Poco M3 tofauti ya bei sio zaidi ya laki. Nikiwa na 550k nabadili hii simu niliyonayo nimekaa nayo siku 601 sasa ila haina shida. Tatizo najua MIUI ina deko haiko stable kama Color niliyozoea
 
IZO readme nataka kuchukua 9C imeakaaje hapo kwa MTK
 
Safi kabisa unahitajika utundu wa hali ya juu kutumia simu za IOS
Tatizo wabongo wananunua kwaajili ya show off bas matuminzi hawajui [emoji1787]

iOS kuna features muhimu kibao mfano, Built in Scanner kwa ajili ya documents hamna haja ya kudownload apps nyingine, Kuna Code scanner ambayo ukienda Restaurant nzuri unascan code unapata full menu na price zote bila usumbufu...n.k shida ni kuijaribu kuizoea iOS na sio pambo la show off kama vijana wengi wanavyofanya[emoji23][emoji23]
 

Hicho tu mkuu ndo umeona muhimu?
 
Bora nichukue Note 9s au Poco M3 tofauti ya bei sio zaidi ya laki. Nikiwa na 550k nabadili hii simu niliyonayo nimekaa nayo siku 601 sasa ila haina shida. Tatizo najua MIUI ina deko haiko stable kama Color niliyozoea
NORD 10N simu kali sana kama unavisha simu cover,

SD 690G kwa simu chini ya dola 300 ni nzuri, pia ina 5G future proof.
 
Kwa uo mkwanja Nokia 6.2 unaionaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…