Digging deep down the roots [emoji848][emoji848][emoji848][emoji120][emoji144][emoji144][emoji144][emoji144]Vita imekolea. CEO wa Huawei mwanadada ambaye ni binti wa mwanzilishi wa Huawei anashikiliwa Canada kwa amri ya korti moja Marekani. Wanataka kuiua Huawei. Hawatengenezi simu peke yake. Mfumo wa 5G basically ni Huawei in terms of vifaa na teknologia. Hata Pentagon ni wateja wao. Ni vita kali.
That's too long n ineffective.... China wants massive destruction at once n for goodUKITAKA KUJUA I PHONE FAKE FANYA HIVI: nenda setting bonyeza halafu general halafu about halafu scroll down check serial number put your serial number your have if it says you have invalid numbers ,your iphone is fake
Upo sahihi sana. Za button zinakaa sana na chargesamsung ipi battery iko vizuri mkuu,au za button?
Huawei P20Hizi zinaitwa jifariji kuponya jeraha, there is no way watampiku iphone,,,,,unapozungumzia neno fitna kiwanda chake.kiko marekani, mchina atauza wap hasa? Tuache ushabiki sana sana tuseme tu ukwel huawei ikiwekwa mezan na iphone x ukaambiwa chagua utapeleka mkono wap?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Inaitwa iPhonemaniaila watumiaji wa iphone bwana[emoji23][emoji23]wanajionaga wao simu zao ndio bora tu, nilikaa siti moja na ka slay queen kalikuwa na 6 plain mda wote kapo bize na simu, nlivyokuwa natoa simu yangu mfukoni kakawa kananiibia natoa simu gani bahati nzuri namimi nilikuwa nlkuwa na samsung yangu kaliii imesimamia ukucha ikawa imekula kwake na 6 plain nayo ikapumzishwa tukawa marafiki hapohapo
niko china more than 5 years na unayoyaongea sidhan kama ni kweli mkuu. tupia lengine la uongo
Hii ndio simu kwa sasa, takataka zingine tupa stoo!!!
Ukisikia vita ya ya kibiashara ndio hii... Mchina kamuua iPhone, kampuni la kimarekani lililokuwa linauza simu za bei mbaya duniani kote... Simu za iPhone
Mchina baada ya kuona brand zake kubwa zinasuasua hasa Huawei huku iPhone zikibamba soko la China na kwingineko duniani, mchina akaja na fitina mbaya kabisa, chafu na ya kukarahisha....
Kwanza akaipromote simu yake ya Huawei, ikawa ni kampeni nchi nzima viongozi na matajiri wa china watumie Huawei kwakuwa ndio simu zinazowafaa watu wenye hadhi na nafasi katika jamii kama wao.... Taratibu sumu hii wakalishwa na wachina wengine kuwa ulitaka kuonekana wa maana basi tumia Huawei
Baada ya hapo ikaanza kampeni ya delete iPhone china... Kampeni hii iliambatana na kashfa ya kuwa iPhone ni simu za malaya na machangudoa... Hivyo yeyote anayetumia hizo simu kama hana hizo tabia basi ana vinasaba.. [emoji848][emoji848][emoji848][emoji23][emoji23][emoji24][emoji23][emoji24][emoji24][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ilikuwa ni kama kimbunga kikali sasa hivi iPhone 6 unaipata mpaka laki 5 wakati Huawei p10 si chini ya laki 7.... Tulio kwenye magroup ya biashara tunaona... Huawei kamfanya kitu mbaya sana iPhone....
Hasira ya mmarekani mzee wa kulipa visasi bado anatafakari dafrau hili
Worldwide war[emoji23][emoji23][emoji23]
Kama ambavyo sisi tuliopo Tanzania lakini hatujui yaliyomo kwenye yale mafaili chumban kwa rais magufuli.Unaweza kuwa china na usijue kinachoendelea
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115]Mataruma yameshika kutu... Nitaenda kiroho tuu [emoji144][emoji144][emoji144]
China sio Tanzania my friend, fuatilia mjadala uelimike kuishi Guang-zhou sio kuishi Yi Wu au Tian jin... Hata wachina wenyewe hawaijui nchi yao kwa mapana na marefu yake... Kuna watu wanezaliwa Dar na kukulia dar lakini hawajui kuna viongozi wa dini na siasa wako lockupniko china more than 5 years na unayoyaongea sidhan kama ni kweli mkuu. tupia lengine la uongo
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji44][emoji44][emoji44][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]asante kwa mchango na kushiriki mjadalaMshana huwa nakuamini lakini kwa huu uzi umechemsha!!! Mimi natumia IPhone 6s Plus!! Huwezi linganisha IPhone na Simu za hovyo kama Huawei!!!! Ni vizuri utuombe msamaha watumiaji wote wa IPhone hapa JF!! Na usirudi tena na uzi Kama huu usiokuwa na kichwa wana miguu!! Hopeless Thread!!!