Albinoomweusi
JF-Expert Member
- Oct 28, 2016
- 3,433
- 8,585
Oppo wana simu nzuri ika hii f9 hamna simuKuna kitu inaitwa OPPO F9 mchina,icheki uone kama huyo iPhone atatia mguu hapo
Ukishaona simu inatumia chipset ya mtk ujue hamna kitu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Oppo wana simu nzuri ika hii f9 hamna simuKuna kitu inaitwa OPPO F9 mchina,icheki uone kama huyo iPhone atatia mguu hapo
Sio mimi muuzaji, nitakutafutia contact zake usijali
Sijawahi acha kutumia HuaweiRésultats Google Recherche d'images correspondant à https://i.ytimg.com/vi/LqaSRD9wS-c/hqdefault.jpg 8ram 256gb hii sio fitina ni mauaji
Unakaa mtaa gani?siku hizi hizo iphone 6 bei imeporomoka kweli....ndio watu wanakuja kuturingishia huku mtaani
Haha jikaze ununue Iphone...hatred hazikusaidii kitu zaid ya kukupa moyo.Kuna kitu inaitwa OPPO F9 mchina,icheki uone kama huyo iPhone atatia mguu hapo
bulubaUnakaa mtaa gani?
Basi zimekuwa kama Dstv mwanzo ilikuwa kwa wenye kipato kikubwa sasa naona hata wanyonge watamiliki
Ukisikia vita ya ya kibiashara ndio hii... Mchina kamuua iPhone, kampuni la kimarekani lililokuwa linauza simu za bei mbaya duniani kote... Simu za iPhone
Mchina baada ya kuona brand zake kubwa zinasuasua hasa Huawei huku iPhone zikibamba soko la China na kwingineko duniani, mchina akaja na fitina mbaya kabisa, chafu na ya kukarahisha....
Kwanza akaipromote simu yake ya Huawei, ikawa ni kampeni nchi nzima viongozi na matajiri wa china watumie Huawei kwakuwa ndio simu zinazowafaa watu wenye hadhi na nafasi katika jamii kama wao.... Taratibu sumu hii wakalishwa na wachina wengine kuwa ulitaka kuonekana wa maana basi tumia Huawei
Baada ya hapo ikaanza kampeni ya delete iPhone china... Kampeni hii iliambatana na kashfa ya kuwa iPhone ni simu za malaya na machangudoa... Hivyo yeyote anayetumia hizo simu kama hana hizo tabia basi ana vinasaba.. [emoji848][emoji848][emoji848][emoji23][emoji23][emoji24][emoji23][emoji24][emoji24][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ilikuwa ni kama kimbunga kikali sasa hivi iPhone 6 unaipata mpaka laki 5 wakati Huawei p10 si chini ya laki 7.... Tulio kwenye magroup ya biashara tunaona... Huawei kamfanya kitu mbaya sana iPhone....
Hasira ya mmarekani mzee wa kulipa visasi bado anatafakari dafrau hili
MTOA MADA NI MWANAFUNZI MSAMEHENI HAJUI IPHONE HESHIMA YAKE KITU CHOCHOTE CHA MAREKANI PRODUCT ZAKE HAKUNA SEHEMU YOYOTE UTAKAYOIPATA UIMARA NA UZURI UTAWADANGANYA WASIOTEMBEA WASIOJUA SEMA KUNA IPHONE FEKI ZINATENGENEZWA CHINA KAMA HIYO KWENYE PICHA GOOGLE HALAFU ULIZIA IPHONE FAKE ZIKO VIPI UTAONYESHWA i phone 6 huwezi kuipata bila kuwa na mill 2 na kitu ukioona tz i phone inauzwa million1 feki au million 1 ,5 jiulize mara mbili watakwambia orginal wafanya biashara lakini feki
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mtz tena mpare....!!!!sasa mtoa mada yeye kosa lake nini?yeye sio mchina ni mtz,tena mpare,,kama iphone zote za bongo ni feki,basi balaa kubwa hili,inawezekana iphone dunia nzima ni feki,isipokuwa za marekani tu...tuhuma zako ni nzito na ngumu kuthibitisha,uagize iphone kupitia tigoshop au vodashop alafu zote ziwe feki,si hatari hiyo....