Bye bye iPhone.... Hutamsahau Mchina

Bye bye iPhone.... Hutamsahau Mchina

MTOA MADA NI MWANAFUNZI MSAMEHENI HAJUI IPHONE HESHIMA YAKE KITU CHOCHOTE CHA MAREKANI PRODUCT ZAKE HAKUNA SEHEMU YOYOTE UTAKAYOIPATA UIMARA NA UZURI UTAWADANGANYA WASIOTEMBEA WASIOJUA SEMA KUNA IPHONE FEKI ZINATENGENEZWA CHINA KAMA HIYO KWENYE PICHA GOOGLE HALAFU ULIZIA IPHONE FAKE ZIKO VIPI UTAONYESHWA i phone 6 huwezi kuipata bila kuwa na mill 2 na kitu ukioona tz i phone inauzwa million1 feki au million 1 ,5 jiulize mara mbili watakwambia orginal wafanya biashara lakini feki
 
Ukisikia vita ya ya kibiashara ndio hii... Mchina kamuua iPhone, kampuni la kimarekani lililokuwa linauza simu za bei mbaya duniani kote... Simu za iPhone
Mchina baada ya kuona brand zake kubwa zinasuasua hasa Huawei huku iPhone zikibamba soko la China na kwingineko duniani, mchina akaja na fitina mbaya kabisa, chafu na ya kukarahisha....
Kwanza akaipromote simu yake ya Huawei, ikawa ni kampeni nchi nzima viongozi na matajiri wa china watumie Huawei kwakuwa ndio simu zinazowafaa watu wenye hadhi na nafasi katika jamii kama wao.... Taratibu sumu hii wakalishwa na wachina wengine kuwa ulitaka kuonekana wa maana basi tumia Huawei
Baada ya hapo ikaanza kampeni ya delete iPhone china... Kampeni hii iliambatana na kashfa ya kuwa iPhone ni simu za malaya na machangudoa... Hivyo yeyote anayetumia hizo simu kama hana hizo tabia basi ana vinasaba.. [emoji848][emoji848][emoji848][emoji23][emoji23][emoji24][emoji23][emoji24][emoji24][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ilikuwa ni kama kimbunga kikali sasa hivi iPhone 6 unaipata mpaka laki 5 wakati Huawei p10 si chini ya laki 7.... Tulio kwenye magroup ya biashara tunaona... Huawei kamfanya kitu mbaya sana iPhone....
Hasira ya mmarekani mzee wa kulipa visasi bado anatafakari dafrau hili
Pamoja na mambo hayo bado kuna tishio la simu za Iphone kuzuiwa kuuzwa china kutokana ma case yake na Qualcomm Qualcomm says Apple needs to take China iPhone ban seriously - Tech News | The Star Online
 
Mkuu hupandishi upareni?
Mataruma yameshika kutu... Nitaenda kiroho tuu [emoji144][emoji144][emoji144]
Dah... Bila shaka nyagi inasoma kichwani Mkuu maana majibu yako.. Kuna jamaa kule upande wa pili umewaambia walinunua gari kwa ajili ya maiti zilizokufa.. Ha ha ha haaaa.
 
MTOA MADA NI MWANAFUNZI MSAMEHENI HAJUI IPHONE HESHIMA YAKE KITU CHOCHOTE CHA MAREKANI PRODUCT ZAKE HAKUNA SEHEMU YOYOTE UTAKAYOIPATA UIMARA NA UZURI UTAWADANGANYA WASIOTEMBEA WASIOJUA SEMA KUNA IPHONE FEKI ZINATENGENEZWA CHINA KAMA HIYO KWENYE PICHA GOOGLE HALAFU ULIZIA IPHONE FAKE ZIKO VIPI UTAONYESHWA
Haya asante mtaalam
 
Mkuu hupandishi upareni?
Dah... Bila shaka nyagi inasoma kichwani Mkuu maana majibu yako.. Kuna jamaa kule upande wa pili umewaambia walinunua gari kwa ajili ya maiti zilizokufa.. Ha ha ha haaaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom