Bye bye iPhone.... Hutamsahau Mchina

Unaweza kuwa china na usijue kinachoendelea
hahaha u right. iam a man of technology . thats my field as since am a comptr engineer. and i am a social moving person . that has travelled most parts. aendelee kujidanganya. iphone is most loved ikifuatiwa na samsung ndan ya china . wachina wanajua mziki wa iphone vzur. sio kama nawatetea iphone ila thts the truth. fanya research ukiwa ndan ya china n not feeds za internet
 
IPhone bado inashika sana China Mkuu
 
IPhone bado inashika sana China Mkuu
Let's be a bit serious guys... Tunapozungumzia China... Hunan jimbo lisilojulikana sana population yake ni million 100+... Tanzania nzima tuko million 50 hivi..
Kuna ndugu kajisifu kuwa china miaka 5, mimi niko na wachina mwaka wa 23 sasa... Nimebaki tu kucheka
 
Acheni kelele,hakuna simu dunia hii yenye ubora uimara na uzuri zaid ya iphone,kama unabisha nyoosha mkono juu,afu ujifanye kama unajikuna,kama haujawahi kutumia iphone au hautumii hauwezi kunielewa ninachokielezea hapa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…