Sidhani. Dukani ni bei sana anyway[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]unawafamu wachina au unawasikia?
IPhone 6 hiyo 64gb kwa 450 tuView attachment 973279
Mkuu sio mtk zote ujue hamna kitu. Mtk p60 ipo vizur sana kuliko ata qlm 636. Huwa inategemea hyo simu ina chipset model ipi ndo uje useme kwel mtk zote hamna ktuOppo wana simu nzuri ika hii f9 hamna simu
Ukishaona simu inatumia chipset ya mtk ujue hamna kitu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]unawafamu wachina au unawasikia?
IPhone 6 hiyo 64gb kwa 450 tuView attachment 973279
[emoji23][emoji23][emoji23]yeah kuna mahali mdau kaweka... Ziko nyingi tu mbona
Mchezo huu hautaki hasiraUkisikia vita ya ya kibiashara ndio hii... Mchina kamuua iPhone, kampuni la kimarekani lililokuwa linauza simu za bei mbaya duniani kote... Simu za iPhone
Mchina baada ya kuona brand zake kubwa zinasuasua hasa Huawei huku iPhone zikibamba soko la China na kwingineko duniani, mchina akaja na fitina mbaya kabisa, chafu na ya kukarahisha....
Kwanza akaipromote simu yake ya Huawei, ikawa ni kampeni nchi nzima viongozi na matajiri wa china watumie Huawei kwakuwa ndio simu zinazowafaa watu wenye hadhi na nafasi katika jamii kama wao.... Taratibu sumu hii wakalishwa na wachina wengine kuwa ulitaka kuonekana wa maana basi tumia Huawei
Baada ya hapo ikaanza kampeni ya delete iPhone china... Kampeni hii iliambatana na kashfa ya kuwa iPhone ni simu za malaya na machangudoa... Hivyo yeyote anayetumia hizo simu kama hana hizo tabia basi ana vinasaba.. [emoji848][emoji848][emoji848][emoji23][emoji23][emoji24][emoji23][emoji24][emoji24][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ilikuwa ni kama kimbunga kikali sasa hivi iPhone 6 unaipata mpaka laki 5 wakati Huawei p10 si chini ya laki 7.... Tulio kwenye magroup ya biashara tunaona... Huawei kamfanya kitu mbaya sana iPhone....
Hasira ya mmarekani mzee wa kulipa visasi bado anatafakari dafrau hili
Kiukweli Mimi nipo Huawei, iPhone sijawai kushawishika nilianza na p9 lite nikaja p10 na sasa ni p20 pro kitu cha 128gb betr inakaa zaidi ya 24hr.ram gb 6.simu aipati moto..... IPhone anasubiri
Hadi Trump anachanganyikiwa hili siyo jambo dogo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
mshana Jr pakua apps ya mr phone kwenye android alafu kaangalie simu ambayo kwa kila sifa ni hipi kama sio iphoneUkisikia vita ya ya kibiashara ndio hii... Mchina kamuua iPhone, kampuni la kimarekani lililokuwa linauza simu za bei mbaya duniani kote... Simu za iPhone
Mchina baada ya kuona brand zake kubwa zinasuasua hasa Huawei huku iPhone zikibamba soko la China na kwingineko duniani, mchina akaja na fitina mbaya kabisa, chafu na ya kukarahisha....
Kwanza akaipromote simu yake ya Huawei, ikawa ni kampeni nchi nzima viongozi na matajiri wa china watumie Huawei kwakuwa ndio simu zinazowafaa watu wenye hadhi na nafasi katika jamii kama wao.... Taratibu sumu hii wakalishwa na wachina wengine kuwa ulitaka kuonekana wa maana basi tumia Huawei
Baada ya hapo ikaanza kampeni ya delete iPhone china... Kampeni hii iliambatana na kashfa ya kuwa iPhone ni simu za malaya na machangudoa... Hivyo yeyote anayetumia hizo simu kama hana hizo tabia basi ana vinasaba.. [emoji848][emoji848][emoji848][emoji23][emoji23][emoji24][emoji23][emoji24][emoji24][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ilikuwa ni kama kimbunga kikali sasa hivi iPhone 6 unaipata mpaka laki 5 wakati Huawei p10 si chini ya laki 7.... Tulio kwenye magroup ya biashara tunaona... Huawei kamfanya kitu mbaya sana iPhone....
Hasira ya mmarekani mzee wa kulipa visasi bado anatafakari dafrau hili
Mpare sio 😬😬😬😬😬[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mtz tena mpare....!!!!
iphone ni sawa kama unamiliki v8.Huko mbali sana ninazo hapaa na sizitumii