Bye bye iPhone.... Hutamsahau Mchina

Bye bye iPhone.... Hutamsahau Mchina

kaka naamini wewe ni msoni fanya analysis kwanza ndio uongee ndio yale ya kulinganisha china na marekani kwa GDP kumbuka USA ina watu mil 260 na china ina watu bil 1.6
nirudi kwenye point iphone wanatumia special people yaani narudia tena iphone was not meant for everyone iphone iphone huwa wanatengeneza only one million devices tuu then wanadiscontinue production ya hio generation
kaka hebu jaribu kushika iphone na huawei ulinganishe kaka,hivi kati ya marcedes benz na toyota ipi ni the best but toyota na general motors ndio wanaongoza kwa kuuza products zao na soko kubwa la toyota ni Africa na asia kumbuka marcedes ndio valuable and decent car so jaribu kafanyia analysis hii scenario nakuirelate na iphone vs huawei ni kosa la jinai kulinganisha iphone na huawei kaka tena unatakiwa ufungwe kifungo cha maisha
 
Ni rekodi rasmi za wenyewe halafu hiyo wala sio mada yangu labda ungeisoma halafu ukampinga kwa hoja za kitakwimu kama alivyofanya yeye

Jr[emoji769]
 
nimeisoma kaka tena nimemuelewa kaka mimi naamini wewe ni msomi so let us talk like intellectuals and analyst
kuna kitu kinaitwa variety kwenye biashara au hata maisha yote ya hapa duniani na vitu hapa duniani vinaweka kwenye categories tofauti tofauti kuna vitu wanatumia matajiri na kuna vitu wanatumia watu wa kati na kuna wanavyotumia hohe hahe nadhani utakua umenielewa china ina internal market ya 1.6billions yaani ina watu billioni 1.6.
Twende kwenye point hapo huawei imeuza devices nyingi kwamba means huawei wana devices za kuanzia elfu ishirini mpaka millions but leo hii iphone 4s yenye apple infringement huwezi nunua chini ya laki nne na miaka imetengenezwa mwaka 2009 zilitengenezwa devices milion moja tu so tunasema market area ya iphone rich people au higher income earners na huawei ipo ya hohe hahe mpaka tajiri authough matajiri wanatumia iphones because is the most secured phone ever made on the planet
mfano mdogo kati ya benz na toyota ipi decent car? the answer is marcedez benz but who sold more units out there? the answer is toyota mfano mwingine hennesy vs jack daniels mfano mwingine rolex vs seiko 5
mimi naamini wewe kama msomi umeelewa sema unajifanya haujaelewa

NOTE:NI KOSA LA JINAI KUILINGANISHA IPHONE NA HUAWEI HUKUMU YAKE UNATAKIWA KUNYONGWA MPAKA KUFA
 
Ukisikia vita ya ya kibiashara ndio hii... Mchina kamuua iPhone, kampuni la kimarekani lililokuwa linauza simu za bei mbaya duniani kote... Simu za iPhone
Mchina baada ya kuona brand zake kubwa zinasuasua hasa Huawei huku iPhone zikibamba soko la China na kwingineko duniani, mchina akaja na fitina mbaya kabisa, chafu na ya kukarahisha....
Kwanza akaipromote simu yake ya Huawei, ikawa ni kampeni nchi nzima viongozi na matajiri wa china watumie Huawei kwakuwa ndio simu zinazowafaa watu wenye hadhi na nafasi katika jamii kama wao.... Taratibu sumu hii wakalishwa na wachina wengine kuwa ulitaka kuonekana wa maana basi tumia Huawei
Baada ya hapo ikaanza kampeni ya delete iPhone china... Kampeni hii iliambatana na kashfa ya kuwa iPhone ni simu za malaya na machangudoa... Hivyo yeyote anayetumia hizo simu kama hana hizo tabia basi ana vinasaba.. [emoji848][emoji848][emoji848][emoji23][emoji23][emoji24][emoji23][emoji24][emoji24][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ilikuwa ni kama kimbunga kikali sasa hivi iPhone 6 unaipata mpaka laki 5 wakati Huawei p10 si chini ya laki 7.... Tulio kwenye magroup ya biashara tunaona... Huawei kamfanya kitu mbaya sana iPhone....
Hasira ya mmarekani mzee wa kulipa visasi bado anatafakari dafrau hili
Ukweli wako nimeujua Leo hii.
 
mbona keshalipa kisasi hujasikia kazuia kutumika kwa google software ktk android phones ktk huawei
 
Kama hii imetukia kweli, basi Huawei ataandamwa mpaka pumzi ya mwisho
Ukisikia vita ya ya kibiashara ndio hii... Mchina kamuua iPhone, kampuni la kimarekani lililokuwa linauza simu za bei mbaya duniani kote... Simu za iPhone
Mchina baada ya kuona brand zake kubwa zinasuasua hasa Huawei huku iPhone zikibamba soko la China na kwingineko duniani, mchina akaja na fitina mbaya kabisa, chafu na ya kukarahisha....
Kwanza akaipromote simu yake ya Huawei, ikawa ni kampeni nchi nzima viongozi na matajiri wa china watumie Huawei kwakuwa ndio simu zinazowafaa watu wenye hadhi na nafasi katika jamii kama wao.... Taratibu sumu hii wakalishwa na wachina wengine kuwa ulitaka kuonekana wa maana basi tumia Huawei
Baada ya hapo ikaanza kampeni ya delete iPhone china... Kampeni hii iliambatana na kashfa ya kuwa iPhone ni simu za malaya na machangudoa... Hivyo yeyote anayetumia hizo simu kama hana hizo tabia basi ana vinasaba.. [emoji848][emoji848][emoji848][emoji23][emoji23][emoji24][emoji23][emoji24][emoji24][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ilikuwa ni kama kimbunga kikali sasa hivi iPhone 6 unaipata mpaka laki 5 wakati Huawei p10 si chini ya laki 7.... Tulio kwenye magroup ya biashara tunaona... Huawei kamfanya kitu mbaya sana iPhone....
Hasira ya mmarekani mzee wa kulipa visasi bado anatafakari dafrau hili
 
Huawei kamfanya kitu mbaya sana iPhone....
Hasira ya mmarekani mzee wa kulipa visasi bado anatafakari dafrau hili
Kisasi hiki kakilipa haraka sana
 
Mkuu mimi naomba uniunge kwenye hayo magroup ya biashara kama inawezekana ,,

Napendelea zaid yawe ya home appliances ,phone na electronic nyinginezo.

Leo wameshushiwa DIRECT SANCTION na MMAREKANI. Dah naona P20 akiuzwa laki 3 kule kariakoo nap maskini hana hata google wala youtube. Ni KISANGA.
 
Mkuu mimi naomba uniunge kwenye hayo magroup ya biashara kama inawezekana ,,

Napendelea zaid yawe ya home appliances ,phone na electronic nyinginezo.
Karibu bila shaka... Utanipa contact yako
 
Back
Top Bottom