themathematicalmodelling
Senior Member
- Feb 2, 2018
- 174
- 327
kaka naamini wewe ni msoni fanya analysis kwanza ndio uongee ndio yale ya kulinganisha china na marekani kwa GDP kumbuka USA ina watu mil 260 na china ina watu bil 1.6
nirudi kwenye point iphone wanatumia special people yaani narudia tena iphone was not meant for everyone iphone iphone huwa wanatengeneza only one million devices tuu then wanadiscontinue production ya hio generation
kaka hebu jaribu kushika iphone na huawei ulinganishe kaka,hivi kati ya marcedes benz na toyota ipi ni the best but toyota na general motors ndio wanaongoza kwa kuuza products zao na soko kubwa la toyota ni Africa na asia kumbuka marcedes ndio valuable and decent car so jaribu kafanyia analysis hii scenario nakuirelate na iphone vs huawei ni kosa la jinai kulinganisha iphone na huawei kaka tena unatakiwa ufungwe kifungo cha maisha