my name is my name
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 2,016
- 2,397
- Thread starter
-
- #61
Huko canada kunanetwork ya .....nnn ama ndio canada first tym
Bon voyage my name is my name. Je ni mara yako ya kwanza kupakia ndege na kwenda nje? Hope you enjoy the experience.
Had roho inaniuma sema kweli jamn coz anaondoka jehanam anaenda peponi hongera bna kwa kuihama tz ngoja na sisi tujitahid tuuikimbie
Na cha ajabu mtu anaenda canada hata ajui kama jf inapatikana popote duniani,,Sababu una uraia wa Tanzania. Utarudi tu wangapi wameenda huko na wakarudi.
Kumbe hata secondary hujamaliza, basi ndo maana ulikuwa na thread za ajabu ajabu.
Ila hapa Utarudi tu.
Na kitu kingine ni kuwa siamini maana kwa ulivyo mbea lazima unhetwambia kipindi wafanya process za visa
Mimi nipo Mars na ninaipata Jf.........nini Canada bana.............
Mimi nipo Mars na ninaipata Jf.........nini Canada bana.............
Mnaenda.mji gan kuna jiji wamejaa wabongo Ukimwi kama magomeni jilinde.mpwa.ikitokea ajali kazini siriyako
hehe feelings will be caught. Anyway, kuna home sickness, JF ipo kuipunguza so usiage just yet.
Zamani tuliweza kuhifadhi vitu kwa kuwa hatukuwa na tv, mivideo au mikomputa gemu! ulichokuwa unasoma ndio kilikuwa movi kwako kichwani (simulation)
Huwezi amini naweza kukusumulia hadithi nzima ya "Mzee Tola anakula gizani akatafuna konokono" bila lukosea hata mstari mmoja! au "Jogoo aliyesema" Unakumbuka lakini?
cc. Lady Jaydee- Natamani kuwa Mtoto
Kwa hiyo Canada hamna jf au?
Hahahaaaaa.....Preta katika ubora wake.
Hujambo lakini?
Watu mapovu humu. Hahahaha. Chezea msoto ww.
Bongo bila capital utasubiri sanaa.Dogo nenda uendako ila jua hela iko Tanzania.
wa2 wanatoka pov. hawajawah hta kupanda ndege. mi naenda kumalzia secondary, high skul na uni uko. itakua rahc kupata kaz nzur au co ivo?
Unawaaga hata walio Canada?
km uko kutakua na forum km jf ntakuwa naingia za uko uko.
Dah. So polite???!