Bye bye my Tanzania, bye bye my fellow members, truly gonna miss u

Bye bye my Tanzania, bye bye my fellow members, truly gonna miss u

Watu mapovu humu. Hahahaha. Chezea msoto ww.

Bongo bila capital utasubiri sanaa.Dogo nenda uendako ila jua hela iko Tanzania.
 
Sababu una uraia wa Tanzania. Utarudi tu wangapi wameenda huko na wakarudi.
Kumbe hata secondary hujamaliza, basi ndo maana ulikuwa na thread za ajabu ajabu.
Ila hapa Utarudi tu.
Na kitu kingine ni kuwa siamini maana kwa ulivyo mbea lazima unhetwambia kipindi wafanya process za visa
Na cha ajabu mtu anaenda canada hata ajui kama jf inapatikana popote duniani,,
Hapo atakua kalagha bao!!!

Mimi nipo Mars na ninaipata Jf.........nini Canada bana.............

Hebu mweleze!!!
 
Zamani tuliweza kuhifadhi vitu kwa kuwa hatukuwa na tv, mivideo au mikomputa gemu! ulichokuwa unasoma ndio kilikuwa movi kwako kichwani (simulation)

Huwezi amini naweza kukusumulia hadithi nzima ya "Mzee Tola anakula gizani akatafuna konokono" bila lukosea hata mstari mmoja! au "Jogoo aliyesema" Unakumbuka lakini?

cc. Lady Jaydee- Natamani kuwa Mtoto

Walimu walikuwa wakali mno aisee utadhani jeshini..kha! tulikuwa tukimaliza la7 tunafanya picnik porini huko du!
 
Na yule mzee aliyehama na familia kutoka Bukoba kwa gari kupitia Uganda Kenya hadi Dar. Kitabu cha English.
 
Watu mapovu humu. Hahahaha. Chezea msoto ww.

Bongo bila capital utasubiri sanaa.Dogo nenda uendako ila jua hela iko Tanzania.

wa2 wanatoka pov. hawajawah hta kupanda ndege. mi naenda kumalzia secondary, high skul na uni uko.ntanak uko uko. itakua rahc kupata kaz nzur au co ivo?
 
wa2 wanatoka pov. hawajawah hta kupanda ndege. mi naenda kumalzia secondary, high skul na uni uko. itakua rahc kupata kaz nzur au co ivo?

Yap..ila ukisha zichanga + exposure & experience rudi Tz. Ur still young hutojutia. Unless unataka urudi nguvu zimekuisha na box la perfume sijui vi laptop etc.
 
Sikuwahi kuwaza kama kuna member kama huyo humu jf.
 
angalia tu usituaibishe watz...ukawa unafanya vituko ...hakikisha ukirur unakuja kukomboa nch yko. pigana mana uko upo kwa kodi zetu
 
Back
Top Bottom