Bye bye my Tanzania, bye bye my fellow members, truly gonna miss u


Kwa post/thread zako zile! Sikuamini kabisa...labda hadi utakapoweka ticket hapa.
 
We nenda tu wakati mzee wako anastaa mwakani hiyo sec sijui uyaimalizaje?bora ungebaki umalizie huku br
 
Jamani bado kijanz mdogo huyo mumuache ni sawa na ile unaenda hapo karibu tu lkn unaaga. Utotot shida. JF ipo onlinr still u can access sasa sijui atatumiss vipi
 
Bye mwaya. Usisahau kucheck in FB ili tuone safari ya matumaini ilivyo ndefu
 

kwa mfano labda mzee wako angekuwa amehamishiwa kikazi huko katavi mpanda kwa Pinda, ungekuja toa taarifa hapa??
 
..Hapo tatizo litakuwa kukosekana kwa VIFURUSHI VYA KUJIRUSHA kule CANADA. Nakutakia Maisha mema katika makazi yako mapya.
 
Yap..ila ukisha zichanga + exposure & experience rudi Tz. Ur still young hutojutia. Unless unataka urudi nguvu zimekuisha na box la perfume sijui vi laptop etc.
Mkuu we mbeba box nn:what:
 

ondoka tu maana kuna watu kama wewe wakiondoka tunamshukuru mungu ungeondoka na jf ingekuwa poa sana. Nikikumbuka vi uzi vyako dah hadi kinyaa kumbe unafanana navyo kumbe hata sec bado? Ntamtafta tyta alete hapa baadhi ya vi uzi vyako
 
Ooh! baby mbona ghafla hvyo ni PM basi tuagane vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…