ITEGAMATWI
JF-Expert Member
- Jan 26, 2012
- 5,340
- 4,086
Safari njema mtoto mzuri, usome sana sawa eenh!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu we mbeba box nn:what:
Kila mwezi si unaenda "mwezini?"
Kila mwezi si unaenda "mwezini?"
Mars ndio Maromboso?????haaaa haaaa haaaa!salama lakini mtu wangu wa nguvu?
Kinachoniuma ni jins anavyoenda kugegedwa na wazungu
Heshima yako mammy. Hope u mzima wa afya
Sidhani kulikuwa na haja ya kutumia neno unatuaga sababu hata utakapo kuwa canada utakuwa bado unaweza ku access jamii forum sababu this is an online application,ulicho takiwa kufanya kwenye hii thread ni kutoa taarifa kuwa unahama tz.
Wee ni jinsia gani mkuu
calgary. ntakutumia
Ninawaaga my fellow members kesho tunasafiri mi na wazazi wangu na wadogo zangu tunahama Tanzania. Wazazi wangu wanaamishia makazi Canada kikazi. Nitamaliza my secondary education & university huko huko Mungu akipenda. Sina uhakika kama nitarudi tena Tanzania.
Nitawamiss sana, Luv u all
Kumbe JF kuna wadogo humu hata sec hajamaliza