Bye bye my Tanzania, bye bye my fellow members, truly gonna miss u

Bye bye my Tanzania, bye bye my fellow members, truly gonna miss u

Fika salama......ila lazima utarudi bongo....ukutane na adha za Tazara-buguruni
 
Sidhani kulikuwa na haja ya kutumia neno unatuaga sababu hata utakapo kuwa canada utakuwa bado unaweza ku access jamii forum sababu this is an online application,ulicho takiwa kufanya kwenye hii thread ni kutoa taarifa kuwa unahama tz.

Amesema anamalizia sec education. U can judge by the age
 
Kumbe JF kuna wadogo humu hata sec hajamaliza
 
Ninawaaga my fellow members kesho tunasafiri mi na wazazi wangu na wadogo zangu tunahama Tanzania. Wazazi wangu wanaamishia makazi Canada kikazi. Nitamaliza my secondary education & university huko huko Mungu akipenda. Sina uhakika kama nitarudi tena Tanzania.

Nitawamiss sana, Luv u all

Kwani we ni mchina au mzungu.?
 
Dah tabu kweli

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 


Uende salama ‘ Your Name is Your Name”. Tena una bahati unaenda kihalali tena nawazazi . Mimi hapa umri umeenda na ninafikiria kuhamia nchi nyingine lakinisijui kwa namna gani na nchi gani. Miaka mingi sikuwa na wazo hata siku moja la kuhama nchi yangu tenanilikuwa shabiki mkubwa wa kuwaambia walioko huko warudi. Lakini sasa mawazohayo ya kuondoka yanakuja kila siku sababu sijaifahamu kwani mhhhh huko njenako kuna challenges zake.Nataka anza mikakati iko mingi bado natafakarinitumie njia ipi na niende wapi ili nisije nikaruka majivu na kukanyaga moto.



Kwa heri ya kuonana ,ila ujue umetangulia wengine tuko nyumayako japo inawezekena si kwa njia yako uliyotumia na pengine si kwa nchi hiyouliyoenda. Uamuzi wa ama kuhama au kubaki nitaufanya Tarehe 1 Novemba 2015kwani nitakuwa nimekwishajua mbivu na mbichi!
 
Back
Top Bottom