Hahaha.... kweli saa nyingine madingi tunalemaza watoto bana. Mama anampa hela na mkwala kibao, we unamwita chemba unamwongezea kiaina....Hahahahah!
Ndio km na ww unavofaidi kwa matesha,
Wababa wanakuaga washkaji sana sio wanoko km wamama,
Hela habanii hawana mambo ya kusema ukizoea pesa ni vibaya km mama,
aisee kupendwa raha sana,naimajin hiyo siku ya kusema Bye Dady!!!!
mimi huwa namind sana kabint kangu kanapokuwa close na dad wake, mpaka kuna kipindi nakatimua............. lakini nikikumbuka jinsi ambavyo mamangu alikuwa ananiruhusu kuendesha baiskeli ili tu niwape nafasi ya kuongea na dad najisemea "kutesa kwa zamu"
Yan umenikumbusha bana,siku moja nilikuwa ndio shule zimefunguliwa ile asubuhi ndio nasindikizwa alafu mama alishastukiaga kuwa wakati wa kuagana lzm baba anifanyie mpango wakati wa kuhug ananipa na hela lol,Hahaha.... kweli saa nyingine madingi tunalemaza watoto bana. Mama anampa hela na mkwala kibao, we unamwita chemba unamwongezea kiaina....
Mkuu asante sana
Kwa wengine waliochangia asante sana
na hili ni somo kwetu sisi ambao tunaanza malezi kujua ni wapi tusimame na nini tufanye kwa watoto wetu haswa wa kike
AshaDii asante sana kwa uzi wako
Oedipe Syndrom...
Shkamoo Babu na Anti.
FP ... noted!
"bye daddy!" @ babu
I see some bragging hapa ikichukua mkondo.....lol.... Message itafika kwa mama Matesha.
Katika Ulezi mara nyingi akina mama tupo strict saana kwa watoto hasa wa kike. Baba nae anaweza kua strict lakini sio kwa level za mama. Mimi kama mama - na hasa tokana na makuzi kua mtoto wa kike lazima a master kila kitu nyumbani.... Inakufanya utake the same for your kid. Utahakikisha wakapangia responsibilities tokana na level ya Ukubwa wake, toka kupika chai hadi kupika ugali, toka kusuza kikombe hadi kuosha vyombo, toka kufuta maji yalo mwagika to the level ya kupiga deki. Mara nyingi (for hata mimi ilikua hvio) unaona kama mama ni mnoko fulani, hakupendi, anapenda tu kukutumikisha na the like....
Baba yeye akiwa na mtoto wa kike anchowaza cha kwanza ni jinsi gani amtimizie binti yake asifanyiwe na ma bazazi yale yeye baba afanyavyo kwa watoto wa wenzie, ama dada wa wenzie na wanawake woote. Wanaume wengi wanaamini kua toka utoto akidhibiti penzi la mtoto wake wa kike na kumtimizia kila kitu mwanae walau ataepuka kikombe cha kurubuniwa huko mtaaani (Yes it helps to some extent) but ukweli unabaki pale pale no matter how she Loves you... She will eventually fall in love.... Kwa muktadha huo yeye binti huona kua baba is the best parent, lolote atakalo apewa, anadekezwa na baba anamjali na kumuulizia kila saa.... Tena sa ingine hata hua amwambia mama kua ampunguzie kazi.....
Na nature tu, wa kiume kwa mama wa kike kwa baba.... Mtoto wangu wa kiume.... ni mdogo, ana wivu huyo hataki kabisa mtu mwingine apate attention yangu hasa kama ni opposite sex.... anakua mkali kabisa na tu amri twa hapa na pale....
acha uvivu, unaenda wapi? (hata kama sio babuyo...lol)
AshaDii kwa mchango wako kwenye uzi huu na sio thread. Kuna mchango umetoa kwenye hii thread ya Babu umekaa mahali pake
Sorry sikuucopy na kuuweka kwenye maandishi yangu
...ohooo,
Dada'ngu, it's to early kuleta nyimbo mbaya bana, I can't imagine ka princess kangu kana fall in love kiasi cha kuacha kunisikiliza aisee, eti Aspirin unaonaje? tayari ushaanza fikiria mume atayekuwa anamlamba makofi binti yako?
Huna haja ya kusema Sorry, (genuinely nilifikiri umetoka nje huko ukasoma thread yangu ndio ukatoa pongezi hapa, nikataka kujua ni ipi); kumbe ulikua na maana post.... Nashukuru for the acknowledgement on the post.... THANK YOU.
best, that's more than a comment ... acha kuchakachua uzi wa babu bana!
Missing u Big sisy!!!Nili kumiss alafu ukawa waondoka.... Si unajua nikiwa kwa shem yangu niko relaxed kabisa siogopi mikwara ya mwenye thread? lol Nimeacha lakini...
Nili kumiss alafu ukawa waondoka.... Si unajua nikiwa kwa shem yangu niko relaxed kabisa siogopi mikwara ya mwenye thread? lol Nimeacha lakini...