"Bye Daddy"...... Dah!!!

"Bye Daddy"...... Dah!!!

Inawezekana umefuga mbwa wakali sana, kwahiyo kabinti kanafurahia kutoka kifungoni. lol

btw, Kweli mzee mzima yamekukuta...!!! bye daddy imekuganda sikioni, kwani alikunong'oneza?😛hoto:
 
Anakupenda kwasababu unampenda.

Watoto wa kiume hua walaini kwa mama zao, na wa kike kwa baba zao. Ni ile attention ya 'different sex'. . .

Ni kweli na hiyo ni "nguvu za kimaumbile". Hata wale ambao tumezaliwa katika ukoo mkubwa wenye kaka na dada. Mimi ni Kaka na ninaosikilizana nao kwa karibu zaidi tokea utotoni wote-ni Dada zangu.
 
Pole babu japo ni kawaida sana kwa wababa kupenda mabinti zao na huwa inatokea tu hata sijuagi 7bu coz hata mie na dady wangu ni dam dam!!

Dah! haki yanani mie napenda sana babangu aisee,
Na yeye anapenda mpaka ana jina special analoita,
Nakumbuka nikiwa bado mdogo mama alinichukia kisa napendwa na baba,

Tena first born acha kbs,baba alipiga marufuku mie kuchapwa wala kugombezwa,
Mama mpaka akawa wanasusa mitoko tukawa tunajiachia na baba tu kwa raha zetu,

Mama akafanya mpango nikapelekwa kuishi kwa bibi hapo ndio akaharibu kila wiki end baba anakuja na kumwacha mama hm peke yake,ikabidi nirudishwe tena hm yan mpaka nilipoenda 4n 1 boding ndio mama akapumua lol,
Mpaka na ukubwa huu baba hawezi kulala bila kunitakia usiku mwema,vocha napunguziwa yani tunapendana acha kbs!

Nashukuru mungu mama siku hizi ameshaelewa anamtaniaga baba kuwa siku nikiolewa ndio atajijua kwan nitakuwa kwenye himaya nyingine hata kupiga simu usiku itabidi ajifikirie lol1
4sure nampenda sana baba yangu, na mungu ampe maisha marefu aje awaone wajukuu zake.
 
Mkuu asante sana
Kwa wengine waliochangia asante sana
na hili ni somo kwetu sisi ambao tunaanza malezi kujua ni wapi tusimame na nini tufanye kwa watoto wetu haswa wa kike
AshaDii asante sana kwa uzi wako
 
Bigi, ADI, DA na Mj1 hapo juu. Acheni kuchakachua sredi ya ODM! Bye! Dah!
 
Inawezekana umefuga mbwa wakali sana, kwahiyo kabinti kanafurahia kutoka kifungoni. lol

btw, Kweli mzee mzima yamekukuta...!!! bye daddy imekuganda sikioni, kwani alikunong'oneza?😛hoto:
Kiongozi subiri na wewe yakukute. Ukubwa dawa bana!
 
mimi huwa namind sana kabint kangu kanapokuwa close na dad wake, mpaka kuna kipindi nakatimua............. lakini nikikumbuka jinsi ambavyo mamangu alikuwa ananiruhusu kuendesha baiskeli ili tu niwape nafasi ya kuongea na dad najisemea "kutesa kwa zamu"
 
rafiki hata mimi nilijiuliza hili swali................................... kama namwona vile anavyomkoma! ha haaaaaaaaaa
Hahahah rafiki bana. Hapo namaanisha kutakuwepo na viwanja vingi vya "baba na mama"
 
najua rafiki, kama nawaona vile....................... mkumbuke tu kufanya ukaguzi kwenye kila kiwanja, mnaweza mkapata wageni
 
kiukweli nampenda sana mdingi wangu aisee.uspime i thinki nae ananilove sana yaani daily lazima anicall.yaani anamshinda hata mpenzi
umenikumbusha naenda holiday wk ijayo tar 14 feb lazima nile na mdingi wangu
he is my happyness
Aisee! Kumbe wagonjwa wa mabinti zetu tuko wengi eh?

Pole babu japo ni kawaida sana kwa wababa kupenda mabinti zao na huwa inatokea tu hata sijuagi 7bu coz hata mie na dady wangu ni dam dam!!

Dah! haki yanani mie napenda sana babangu aisee,
Na yeye anapenda mpaka ana jina special analoita,
Nakumbuka nikiwa bado mdogo mama alinichukia kisa napendwa na baba,

Tena first born acha kbs,baba alipiga marufuku mie kuchapwa wala kugombezwa,
Mama mpaka akawa wanasusa mitoko tukawa tunajiachia na baba tu kwa raha zetu,

Mama akafanya mpango nikapelekwa kuishi kwa bibi hapo ndio akaharibu kila wiki end baba anakuja na kumwacha mama hm peke yake,ikabidi nirudishwe tena hm yan mpaka nilipoenda 4n 1 boding ndio mama akapumua lol,
Mpaka na ukubwa huu baba hawezi kulala bila kunitakia usiku mwema,vocha napunguziwa yani tunapendana acha kbs!

Nashukuru mungu mama siku hizi ameshaelewa anamtaniaga baba kuwa siku nikiolewa ndio atajijua kwan nitakuwa kwenye himaya nyingine hata kupiga simu usiku itabidi ajifikirie lol1
4sure nampenda sana baba yangu, na mungu ampe maisha marefu aje awaone wajukuu zake.
Duh! Mpaka nimemwonea wivu baba yako asee. Kupendwa raha bana!

mimi huwa namind sana kabint kangu kanapokuwa close na dad wake, mpaka kuna kipindi nakatimua............. lakini nikikumbuka jinsi ambavyo mamangu alikuwa ananiruhusu kuendesha baiskeli ili tu niwape nafasi ya kuongea na dad najisemea "kutesa kwa zamu"
Hehehehe....... kumbe?

Kumbe ile "umeanza kudeka na baba yako, hebu kafanye homework kule" ni sehemu ya kawivu flani eh?
 
najua rafiki, kama nawaona vile....................... mkumbuke tu kufanya ukaguzi kwenye kila kiwanja, mnaweza mkapata wageni
Hahaha... na umri huu na uchumi huu nani anataka wageni? Nlifikiri utanishauri tusijefanya "tabia mbaya" kwenye uwanja wa watoto lol
 
Aisee! Kumbe wagonjwa wa mabinti zetu tuko wengi eh?

Duh! Mpaka nimemwonea wivu baba yako asee. Kupendwa raha bana!

Hehehehe....... kumbe?

Kumbe ile "umeanza kudeka na baba yako, hebu kafanye homework kule" ni sehemu ya kawivu flani eh?

Hahahahah!
Ndio km na ww unavofaidi kwa matesha,
Wababa wanakuaga washkaji sana sio wanoko km wamama,
Hela habanii hawana mambo ya kusema ukizoea pesa ni vibaya km mama,
aisee kupendwa raha sana,naimajin hiyo siku ya kusema Bye Dady!!!!

Hehehehe....... kumbe?

Kumbe ile "umeanza kudeka na baba yako, hebu kafanye homework kule" ni sehemu ya kawivu flani eh?
Homework ikiisha kukata vitunguu, hata kama siku hiyo haupikwi wali anapewa mchele kuchambua in advance.
 
Kiongozi subiri na wewe yakukute. Ukubwa dawa bana!

Kiongozi umesahau kwamba Rhobi yuko kindergaten? mi nachofanya ni kunoa panga tu hakuna kufuga mbwa!

Hivi viinglish vinachanganya sana wazazi wa siku hizi, hasa waliosoma St. Government. Kabinti kangesema Kwaheri baba, hapo kusingekuwa na story.

Kiongozi hayo ndio malezi ya siku hizi bana, mnaanza kuwa wakiwa nyumbani na mkeo as if hamna watoto. Na safari ndio imeanza, ni hivyo hadi kanaolewa, huna muda tena wa kujumuika na familia yako.
 
Ahaha!mi sielewi ila kwakweli it happens..and ukiwa ni first born and mtoto wa ujanani ndo kabisaaa!mimi dad hataki niondoke nyumbani bila chai ati,nikiwa mbali sijampigia ataanza kunung'unika..dady's girl!..bye daddy!
 
Back
Top Bottom