Pole babu japo ni kawaida sana kwa wababa kupenda mabinti zao na huwa inatokea tu hata sijuagi 7bu coz hata mie na dady wangu ni dam dam!!
Dah! haki yanani mie napenda sana babangu aisee,
Na yeye anapenda mpaka ana jina special analoita,
Nakumbuka nikiwa bado mdogo mama alinichukia kisa napendwa na baba,
Tena first born acha kbs,baba alipiga marufuku mie kuchapwa wala kugombezwa,
Mama mpaka akawa wanasusa mitoko tukawa tunajiachia na baba tu kwa raha zetu,
Mama akafanya mpango nikapelekwa kuishi kwa bibi hapo ndio akaharibu kila wiki end baba anakuja na kumwacha mama hm peke yake,ikabidi nirudishwe tena hm yan mpaka nilipoenda 4n 1 boding ndio mama akapumua lol,
Mpaka na ukubwa huu baba hawezi kulala bila kunitakia usiku mwema,vocha napunguziwa yani tunapendana acha kbs!
Nashukuru mungu mama siku hizi ameshaelewa anamtaniaga baba kuwa siku nikiolewa ndio atajijua kwan nitakuwa kwenye himaya nyingine hata kupiga simu usiku itabidi ajifikirie lol1
4sure nampenda sana baba yangu, na mungu ampe maisha marefu aje awaone wajukuu zake.