Bye JF

Safi kabisa,ila kijijini si mtandao upon mkuu!, Endelea kutoka mchango wako.
 
Mi naomba uniachie hiyo ID yako mkuu,..nimempenda huyo 'the Simpson' kwa avatar yakoโ˜บ๏ธโ˜บ๏ธ
 
JF ni addiction

Binafsi nipo happy kutoka.

Nawasii kuacha kuchangia kwenye hii mada niende zangu.

Jamii Forums ni great

Members wake ni great

Nita miss JF

Hila sijawahi kuwa na uhakika katika maisha yangu japo kwa uchungu mkubwa kwamba hii thread ikipotoea na mimi napotea.

Moja ya just udhaifu wangu wa JF ni kudharau quote ya post yangu; au watu wanaojibu thread yangu (its a psychological issue).

So katika withdraw challenges za JF, tafadhali someni tu comments thus far au mod wazuie comments kwenye hii mada.

Honestly I am happy and very excited with my next chapter na maisha ya kijijini without JF and very sure itโ€™s time to go.

Just donโ€™t add comments kwenye hii thread kuto post au kuonyesha nimeona post ya mtu alietumia muda wake kusema chochote kwenye hii mada; I feel like offended the person.

I am happy to go for personal reasons and very sure about this.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ